Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha is green
20221207_203736.jpg
 
Chuga imechangamka ila mwanza wasukuma wanashusha mijengo sio ya nchi hii lakini pia mwanza CBD inakua kwa kasi kuliko arusha ,hata dar wanakaa sana tu kwa mijengo sababu uswahilini mwanza unapungua kwa kasi sana ,kiukweli mwanza wanajitahidi kujenga nyumba za kisasa achilia mbali fursa zipo nyingi mwanza than arusha.
 
Chuga imechangamka ila mwanza wasukuma wanashusha mijengo sio ya nchi hii lakini pia mwanza CBD inakua kwa kasi kuliko arusha ,hata dar wanakaa sana tu kwa mijengo kiukweli mwanza wanajitahidi kujenga nyumba za kisasa achilia mbali fursa zipo nyingi mwanza than arusha.
Takwimu za Sensa kuhusu magorofa umeziona?

Arusha 7,000 vs Mwanza 2,000 😜😜
 
Magorofa sio mchongo kaka, offcoz arusha maghorofa ni mengi hususa ni hotels isitoshe ghorofa nyingi za arusha ni chakavu mwanza ghorofa ndio zinajengwa kwa kasi miaka hii, ni lazima tukubali arusha imestack kwa muda sasa. Mwanza kwa sasa ndio inaongoza kwa immigrants wengi wa kutoka arusha dodoma, dar, kahama na geita ila arusha nani anahamia labda kikazi tu.
 
Yaani Utalii umerudi kwa nguvu na mapato yanakua wewe unasema Arusha ime stack? Are you serious?
Arusha ndio Mji pekee ambao ukikaa mwaka ukarudi utakuta imebadilika Ila Mwanza wala
 
Leta takwimu kuwa utalii umekuwa...rejea takwimu ya 2018 na 2019[emoji116][emoji28]
IMG-20221214-WA0000.jpg
 
Utalii upo kilimanjaro sio arusha kaka tena watalii hushukia KIA. Mkoa arusha kuna kivutio gani cha utalii ebu tusaidie ili tuje kutalii
Hapo sasa, hajui kuwa maeneo ya kutalii yapo Kilimanjaro na manyara kwa zone hiyo ya kaskazini. Anatusumbua tu mwananjombe huyu
 
Matatita wa madini wote kutoka kanda ya ziwa( GGM ,BULYANHULU, NYAMONGO,BUZWAGI,NORTH MARA,TULAWAKA, NYAMONGO, KATONGO, BACKLEEF, BUSOLWA, WILLIAMSON DIAMOND, NORTHMARA,MWADUI DIMONDS so many to mention you can google) ni ndoto yao kujenga mwanza sio kwingine kokote Tanzania.
 
Huu Ni utaahira kwa hiyo mahoteli ya kitalii yapo Kilimanjaro si ndio manake?
Matraco wewe unaishi arusha hata mlima kilimanjaro hujawahi kupanda! kila anachotaka mzungu kipo kilimanjaro , hotels zipo za kutosha matter of facts maghorofa kayaacha ulaya labda kama unahoja nyingine papuchi wewe
 
Huyu hata Arusha haijui anafanya kuingia google kuokoteleza vipicha
 
Mimi ni mchaga OG boya wewe nimezaliwa moshi mixer kuuona mlima uleee, ila ujinga wa kuisifia arusha over mwanza sina mwanza kunapanika kwa kasi ya 5G
 
Nakuelewa mkuu, sema mwanajombe the sunk cost fallacy ni mjinga mmoja kila siku analeta habari za kijinga daily. Kuna wakati Huwa naamua kukaa kimya ila akizidisha ujinga wake namjibu. At least na wewe umeliona hilo
 
Back
Top Bottom