The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Arusha is green
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilimanjaro ni Arusha eti [emoji28]Arusha is greenView attachment 2451603
Arusha is awesome 👇Kilimanjaro ni Arusha eti [emoji28]
Takwimu za Sensa kuhusu magorofa umeziona?Chuga imechangamka ila mwanza wasukuma wanashusha mijengo sio ya nchi hii lakini pia mwanza CBD inakua kwa kasi kuliko arusha ,hata dar wanakaa sana tu kwa mijengo kiukweli mwanza wanajitahidi kujenga nyumba za kisasa achilia mbali fursa zipo nyingi mwanza than arusha.
Magorofa sio mchongo kaka, offcoz arusha maghorofa ni mengi hususa ni hotels isitoshe ghorofa nyingi za arusha ni chakavu mwanza ghorofa ndio zinajengwa kwa kasi miaka hii, ni lazima tukubali arusha imestack kwa muda sasa. Mwanza kwa sasa ndio inaongoza kwa immigrants wengi wa kutoka arusha dodoma, dar, kahama na geita ila arusha nani anahamia labda kikazi tu.Takwimu za Sensa kuhusu magorofa umeziona?
Arusha 7,000 vs Mwanza 2,000 😜😜
Yaani Utalii umerudi kwa nguvu na mapato yanakua wewe unasema Arusha ime stack? Are you serious?Magorofa sio mchongo kaka, offcoz arusha maghorofa ni mengi hususa ni hotels isitoshe ghorofa nyingi za arusha ni chakavu mwanza ghorofa ndio zinajengwa kwa kasi miaka hii, ni lazima tukubali arusha imestack kwa muda sasa. Mwanza kwa sasa ndio inaongoza kwa immigrants wengi wa kutoka arusha dodoma, dar, kahama na geita ila arusha nani anahamia labda kikazi tu.
Ushamba mwingine ni mzigo, whats special na wazungu???? Wewe na mzungu mnatofauti gani????
![]()
Leta takwimu kuwa utalii umekuwa...rejea takwimu ya 2018 na 2019[emoji116][emoji28]Yaani Utalii umerudi kwa nguvu na mapato yanakua wewe unasema Arusha ime stack? Are you serious?
Arusha ndio Mji pekee ambao ukikaa mwaka ukarudi utakuta imebadilika Ila Mwanza wala
Utalii upo kilimanjaro sio arusha kaka tena watalii hushukia KIA. Mkoa arusha kuna kivutio gani cha utalii ebu tusaidie ili tuje kutaliiYaani Utalii umerudi kwa nguvu na mapato yanakua wewe unasema Arusha ime stack? Are you serious?
Arusha ndio Mji pekee ambao ukikaa mwaka ukarudi utakuta imebadilika Ila Mwanza wala
Hapo sasa, hajui kuwa maeneo ya kutalii yapo Kilimanjaro na manyara kwa zone hiyo ya kaskazini. Anatusumbua tu mwananjombe huyuUtalii upo kilimanjaro sio arusha kaka tena watalii hushukia KIA. Mkoa arusha kuna kivutio gani cha utalii ebu tusaidie ili tuje kutalii
Huu Ni utaahira kwa hiyo mahoteli ya kitalii yapo Kilimanjaro si ndio manake?Hapo sasa, hajui kuwa maeneo ya kutalii yapo Kilimanjaro na manyara kwa zone hiyo ya kaskazini. Anatusumbua tu mwananjombe huyu
Ujinga wako ndo utaahira wako, umeongelea utalii au hotel we kuku?. Mzungu aje atalii hoteli za Arusha acha ufala basi🤣🤣🤣Huu Ni utaahira kwa hiyo mahoteli ya kitalii yapo Kilimanjaro si ndio manake?
Waache kutalii kwenye HOTEL za huko kwao waje kutalii kwenye Hotel za Arusha?????Ujinga wako ndo utaahira wako, umeongelea utalii au hotel we kuku?. Mzungu aje atalii hoteli za Arusha acha ufala basi🤣🤣🤣
Matatita wa madini wote kutoka kanda ya ziwa( GGM ,BULYANHULU, NYAMONGO,BUZWAGI,NORTH MARA,TULAWAKA, NYAMONGO, KATONGO, BACKLEEF, BUSOLWA, WILLIAMSON DIAMOND, NORTHMARA,MWADUI DIMONDS so many to mention you can google) ni ndoto yao kujenga mwanza sio kwingine kokote Tanzania.Hapo sasa, hajui kuwa maeneo ya kutalii yapo Kilimanjaro na manyara kwa zone hiyo ya kaskazini. Anatusumbua tu mwananjombe huyu
Matraco wewe unaishi arusha hata mlima kilimanjaro hujawahi kupanda! kila anachotaka mzungu kipo kilimanjaro , hotels zipo za kutosha matter of facts maghorofa kayaacha ulaya labda kama unahoja nyingine papuchi weweHuu Ni utaahira kwa hiyo mahoteli ya kitalii yapo Kilimanjaro si ndio manake?
Huyu hata Arusha haijui anafanya kuingia google kuokoteleza vipichaMatraco wewe unaishi arusha hata mlima kilimanjaro hujawahi kupanda! kila anachotaka mzungu kipo kilimanjaro , hotels zipo za kutosha matter of facts maghorofa kayaacha ulaya labda kama unahoja nyingine papuchi wewe
Tutolee huo ujinga. Tuje kuvisit miti au..watu tunataka kubariz kwenye beach zenye hadhi zetu papuchizi wewe
Mimi ni mchaga OG boya wewe nimezaliwa moshi mixer kuuona mlima uleee, ila ujinga wa kuisifia arusha over mwanza sina mwanza kunapanika kwa kasi ya 5GHuyu hata Arusha haijui anafanya kuingia google kuokoteleza vipicha
Nakuelewa mkuu, sema mwanajombe the sunk cost fallacy ni mjinga mmoja kila siku analeta habari za kijinga daily. Kuna wakati Huwa naamua kukaa kimya ila akizidisha ujinga wake namjibu. At least na wewe umeliona hiloMimi ni mchaga OG boya wewe nimezaliwa moshi mixer kuuona mlima uleee, ila ujinga wa kuisifia arusha over mwanza sina mwanza kunapanika kwa kasi ya 5G