Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mi mtu wa Dodoma tangu lini?tunataka mprove mwanza ni better sio kwa kura tuonyesheni barabara mitaa hospital shule nk sio porojo na ujinga
Eti hospitali, shule na Barabara ushafeli tayari. Umeshindwa kabla hatujaleta picha.
 
Waskuma mna shida sana. Nyie kaeni kwa kutulia tu. Nyie sio watu wa mjini na hamuwezi kuitwa watu wa mjini kamwe. Ukishatamka unatoka mwanza tu, unatolewa vyeo vyote. Unaonekana mlugaluga, mshamba. Wakufunzwa.
We endelea kujiongelesha tu
 
Ya pili kwa kipi? Population sawa. Vingine vyote arusha wanawazidi. Acheni kukaza mafuvu. Hakuna mtu wa maana duniani anamuda na mwanza.
Mshamba nn wazungu wanakuja kuangalia wanyama ndo maana wanajua Tanzania Kuna wanyama na wamasai kwa hotels gani za kuwapa ushamba ,nn cha ajabu?
 
Mshamba nn wazungu wanakuja kuangalia wanyama ndo maana wanajua Tanzania Kuna wanyama na wamasai kwa hotels gani za kuwapa ushamba ,nn cha ajabu?
Unadhihirisha ushamba wako. The best hotels zipo huko. Jaribu basi ata kutumia google vizuri au nao mtihani maana ukishakuwa mtu wa mwanza mpaka vyoo vya kukalia mnafundishwa kutumia karne ya 21. I rest my case. Fata juu huko kuna data nimeweka kwenye posts zangu. Majini ni Dar na Arusha. Mengine tujipe moyo tu.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]unafurahisha aisee
 
Back
Top Bottom