Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Unadhihirisha ushamba wako. The best hotels zipo huko. Jaribu basi ata kutumia google vizuri au nao mtihani maana ukishakuwa mtu wa mwanza mpaka vyoo vya kukalia mnafundishwa kutumia karne ya 21. I rest my case. Fata juu huko kuna data nimeweka kwenye posts zangu. Majini ni Dar na Arusha. Mengine tujipe moyo tu.
Wewe ni mshamba kwamba mzungu aje kushangaa hotels za huko😂😂😂are you crazy zile takataka nikileta list hapa usikimbie ... sibishani na washamba

Bongo wanakuja kuangalia wanyama kwa level za uswahili huko ndo Kuna hotel sio kwamba ni Bora ..tukizungumzia utalii wa majengo na mahoteli tunazungumzia ile hotels namba moja duniani kubwa kule Saudi na hotels zenye miundo mizuri huko Dubai ,marekani, Brazil .
 
Unadhihirisha ushamba wako. The best hotels zipo huko. Jaribu basi ata kutumia google vizuri au nao mtihani maana ukishakuwa mtu wa mwanza mpaka vyoo vya kukalia mnafundishwa kutumia karne ya 21. I rest my case. Fata juu huko kuna data nimeweka kwenye posts zangu. Majini ni Dar na Arusha. Mengine tujipe moyo tu.
Hebu kagoogle kwanza then uje ...😂😂
 
Nani amekwambia mi mgogo..?Mwanza hakuna k2 kama unabisha leta tuone
Nishakuletea huko facilities hujaziona au .. unasubiri rafik ako sunk akusaidie kujenga hoja au
 
Nani amekwambia mi mgogo..?Mwanza hakuna k2 kama unabisha leta tuone
BOT mwanza...
Leta BOT Arusha tucheke[emoji28][emoji28][emoji116]
20230101_195200.jpg
JamiiForums971452391.jpg
 
Iyo ofisi ni Makini hakuna shaka, leta mizigo ya kutosha unaanza ku tupia nyumba moja moja ili nn
Wakati naleta mzigo na wew ulete wako ..... other wise sitaki unienjoy
 
Mpambano ndio kama umehamka😂😂😂😂😂😂😂
 
Iyo ofisi ni Makini hakuna shaka, leta mizigo ya kutosha unaanza ku tupia nyumba moja moja ili nn
Tupia aerial view za mitaa za maporini arusha sio kajumba kamoja kamoja kama ile jamaa ya njombe.
 
Back
Top Bottom