Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hata dodoma ni kiboko kuna mabuyu zabibu karanga nk mndobishana hamjitambui ila kila mkoa unasifa yake, navyo juwa kwenye wazungu wengi ndiyo pazuri ukibisha shauri yako.
Wanawatia ushoga tu na wazungu wanatalii Kilimanjaro, manyara na mara. Hapo wanakuja kuwaharibu machalii na mnavyowashobokea sasa
 
Kesho naongeza picha humu. Wakitaka jengo Moja Moja tutaendana nao mpaka wanyooshe mikono. Naweka kambi hapa kuanzia kesho. Leo acha niwe mtazamaji.
Na mm kesho nakuwa mtazamaji ...yaani kesho weka vitu Hadi mazoea yakate ....jamaa kiherehere kimemkata ..[emoji12][emoji28]
 
Hata dodoma ni kiboko kuna mabuyu zabibu karanga nk mndobishana hamjitambui ila kila mkoa unasifa yake, navyo juwa kwenye wazungu wengi ndiyo pazuri ukibisha shauri yako.
Siyo Nia yetu tumejaribu kuvumilia tumechoka, sasa tumeamua kujibu labda tembelea Uzi kuanzia mwanzo utaelewa
 
Hata dodoma ni kiboko kuna mabuyu zabibu karanga nk mndobishana hamjitambui ila kila mkoa unasifa yake, navyo juwa kwenye wazungu wengi ndiyo pazuri ukibisha shauri yako.
[emoji15][emoji33] tuondolee takataka we mgogo wa ntyuka
 
Takataka tena usitowe povu kuwa mpole kwani kinacho wapa kiburi nini hasa wasukuma.
 
657196.jpg

😀😀😀😀🤣🤣
 
Kama watu tunaobishana nao ndo Hawa basi tunasafari ndefu sana ya kuwaelewesha
 
Ukiangalia mwanza utagundua hivyo vighorofa uchwara ni vya juzi tena enzi za mwendazake, ndio maana wana wenge sana, hawajazoea yani. Mi naogopa Arusha wakija wenyewe hasa wale. Mwanza will be pulverised, mwanza jamani mjivunie kuzaliana tu. Mambo ya urbanisation, class, waachieni Arusha. Hakuna mtu anawawaza mwanza yani. Kaleni mapanki sasa. Mmeshindwa kupangua report ya NBS kuhusu idadi ya maghorofa, mmeshindwa kupangua list ya maghorofa marefu Tanzania, mpompo tu. Embu tafuteni ligi na Singida au iringa. By the way mji wa moshi umewazidi pia. Pua, pua.
Unaongea sana....bila shaka wew ni mwanamke
 
Back
Top Bottom