Center of judgement ndio kitu gani? hujui ata unachoongea, Ni hivi we kinyeo, Mwanza hamuiwezi Arusha kwa lolote. Mjadala umeisha. Wenzenu wanaweka data mnataka picha, mijitu mishamba bana. Mwanza vs Kilimanjaro, Mwanza vs Iringa ndio fair battle mbwiga nyie. Mpo overrated, Mwanza haina ata hadhi ya jiji, watu wenyewe hamjui lolote mpompo tu huko mwisho wa dunia madongo kuinama. Mwanza ni SI unit ya ushamba. Ukitaja Mwanza duniani, kinachokuja kichwani mwa watu ni USHAMBA. WASHAMBA. Synonymous to USHAMBA. MAMBWIGA. Mwanza ni shambani tu. Kitu mwanza anaishinda Arusha ni imani za kishirikina na ujinga.