Huu ndo unaitwa ujanja mavi. Yaani mtu anajiona mjanja kwa akili yake kumbe lofa tu. Na huu ni ugonjwa kisaikolojia tunaita ' grandiose'. Yaani jitu linaweza kuwa lichawi huku kwenye halaiki linajipambanua linampenda Mungu. Au jitu linajiona lijanja na linajua kila kitu kumbe lifala limoja.Siongei tena na watu wasiokuwa wa mjini. Especially wa mwanza.