Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza [emoji91]
Screenshot_20230108-160239.jpg
 
Wewe jamaa ukweli umeshaujua.. huwezi shindanisha Mwanza na mavi..Never
Usirudie kufananisha Mwanza na Arusha wakati unajua ikitoka Dar ni Mwanza. Yaani Arusha inapitwa hadi na Zanzibar[emoji38][emoji38]
Mwanza ni kijiji kikubwa tu hakuna kitu cha kumtisha nacho mtu pole sana
 
Leta pori la arusha tushindanishe na kijiji.
Majiji Tanzania in descending order.
1. Dar es Salaam
2.Arusha
Haya ndio majiji proper kwa hadhi za kimataifa. Yenye kila kitu kinacholifanya jiji kuwa la kimataifa. Haya yanayofata ni upcoming. Yaliharakishwa kisiasa tu. Mwanza ni idadi kubwa tu ya watu ndio inawaweka hapo, lakini haiwezi ku accomodate delegation ya rais wala hakuna kiongozi wa Developed country amewahi kwenda na kulala mwanza, sababu zipo wazi. Pia eneo la jiji wamechukuwa wilaya ambazo kimsingi hazikupaswa ata kuingizwa pale.

3. Dodoma
4. Mwanza
5. Tanga
6. Mbeya
 
Mbona unajitetea sana ..[emoji28]nin tatizo
 
Maraisi wa Dunia wanaweza kulala Arusha kama Bush, akafanya mikutano na mambo yakawa sawa, Haya basi Mwanza waaandae mikutano sijui kwanza hata kama wanaelewa City ni infrastructure ,wanadhani wao kua wengi na kurusha matusi humu itasaidia
 
Maybe hujui kama arusha hamjafikia vigezo vya Jiji [emoji116]
PSX_20230103_195002.jpg
 
Back
Top Bottom