Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

vijana wa arusha hawajui chochote kuhusu mwanza kwa matycoons[emoji1]

Wanazani mwanza ni igogo tu
 
Mambo ni hay [emoji116]
1676129861028.jpg
1676142486371.jpg
 
Kona za Kawetere Mbeya barabara ya kuelekea Chunya zinakufikisha kwenye sehemu ya barabara iliyo kina kirefu kutoka usawa wa bahari katika Afrika, ukifika sehemu hii ambayo inapendeza sana ndipo bonde la ufa linaonekana vizuri sana hasa sehemu za Usangu.
Hivi hapa mwanza inapambanishwa na mikoa mingapi?
 
Back
Top Bottom