Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wapi palipochangamka, watu tunatafuta maisha hapa watu wametoka mikoani na kuja mwanza kutafuta ridhiki we unaleta udwanzi, pita kushoto mkajazane huko dar.
Acha hasira wewe bwege,hapajachangamka fullstop.
Ni pazuri ila hapajachangamka kwani uongo.unataka sifa za uwongo ili iweje
 
Shida ni mwanza wameanza kuona maghorofa na supermarkets nk kuanzia 2010s ndio maana bado mna ulimbukeni na mapicha kila kukicha. Nenda NBS kaangalie miji inayoongoza kwa majengo ya maghorofa nk niliweka mashamba yakatulia kama yapo kwenye fridge. Washamba. Mwanza ina high concentration ya walugaluga. Backwards, genetically idiots. Nikianza kupost hapa mtasema sijui sio arusha au wapi, Arusha waliwatangulia kitambo. Mnajaribu kujishindanisha ili mpate haueni kisaikolojia ila nchi nzima ukisema unatoka mwanza nobody cares wanakuona mshamba wa kawaida ata 5G tu hakuna.
Nyie ndio mnaojaribu kujifariji Kwa kubattle na mji ambao ni mkubwa kuliko wenu thrice , silaha mliyobakiza ni kuita walowazidi hoja washamba .........post hivyo vitu unavyosema tutasema sio Arusha ...labda jina linalowafaa ni migomba city ...mji umejaa migomba Kila sehemu anzia Philips Hadi tengeru ni mabanda na migomba.... mlichowazidi bukoba ni mlima Meru tu vingine vyote mko sawa ..[emoji12][emoji16][emoji16]
Background ya hiyo naura spring ni uswazi wa kufa mtu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20230203-160936.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndio mnaojaribu kujifariji Kwa kubattle na mji ambao ni mkubwa kuliko wenu thrice , silaha mliyobakiza ni kuita walowazidi hoja washamba .........post hivyo vitu unavyosema tutasema sio Arusha ...labda jina linalowafaa ni migomba city ...mji umejaa migomba Kila sehemu anzia Philips Hadi tengeru ni mabanda na migomba.... mlichowazidi bukoba ni mlima Meru tu vingine vyote mko sawa ..[emoji12][emoji16][emoji16]
Background ya hiyo naura spring ni uswazi wa kufa mtu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2523036

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona ulivo huna akili? mji kuwa green ni akili na ujanja.
 
Mwanza hakuna hot air ballons, hakuna camping hakuna, luxury estates, hakuna shopping choices, hakuna enough standard hotels, hakuna mlima, hakuna vitu kibao, hawana uelewa wa haraka, hawapo sharp , hawana exposure ya kukutana na watu wa mataifa mbalimbali, hakuna maghorofa ya maana, ni kijiji kilichochangamka, CBD inazidiwa na Dodoma, Arusha City ni wilaya moja tu, waki recategorize kama inavyotakiwa Mwanza is nothing, Arusha hakuna lugha kubwa duniani isiyozungumzwa pale. Hakuna mjanja anaishi mwanza. Expatriates kibao wanaishi arusha ever thought why? wapo ahead. Mwendazake na makonda na gang yao wamefanya juu chini arusha na kilimanjaro zikapoa ila Mungu akafanya yake.
Arusha kuna ujambazi kuliko Mwanza, kuna ushoga kuliko Mwanza, hakuna beach, raia wake walevi, kamji kadogo, uswazi ndo usiseme, CBD ndogo ndio maana picha ni zilezile tu [emoji1784][emoji1784]
 
Mwanza hakuna hot air ballons, hakuna camping hakuna, luxury estates, hakuna shopping choices, hakuna enough standard hotels, hakuna mlima, hakuna vitu kibao, hawana uelewa wa haraka, hawapo sharp , hawana exposure ya kukutana na watu wa mataifa mbalimbali, hakuna maghorofa ya maana, ni kijiji kilichochangamka, CBD inazidiwa na Dodoma, Arusha City ni wilaya moja tu, waki recategorize kama inavyotakiwa Mwanza is nothing, Arusha hakuna lugha kubwa duniani isiyozungumzwa pale. Hakuna mjanja anaishi mwanza. Expatriates kibao wanaishi arusha ever thought why? wapo ahead. Mwendazake na makonda na gang yao wamefanya juu chini arusha na kilimanjaro zikapoa ila Mungu akafanya yake.
Unaambiwa ulete hivyo ulivyoviandika watu tukujibu unapiga domo tu vilete tuvione hivyo vitu ambavyo washamba wa mwanza hatuna
 
Eti Mwanza nini?
Screenshot_20230219-171351~2.jpg
Screenshot_20230219-171600~2.jpg
Screenshot_20230219-171704~2.jpg
Screenshot_20230219-172343~2.jpg
 
Mwanza hakuna hot air ballons, hakuna camping hakuna, luxury estates, hakuna shopping choices, hakuna enough standard hotels, hakuna mlima, hakuna vitu kibao, hawana uelewa wa haraka, hawapo sharp , hawana exposure ya kukutana na watu wa mataifa mbalimbali, hakuna maghorofa ya maana, ni kijiji kilichochangamka, CBD inazidiwa na Dodoma, Arusha City ni wilaya moja tu, waki recategorize kama inavyotakiwa Mwanza is nothing, Arusha hakuna lugha kubwa duniani isiyozungumzwa pale. Hakuna mjanja anaishi mwanza. Expatriates kibao wanaishi arusha ever thought why? wapo ahead. Mwendazake na makonda na gang yao wamefanya juu chini arusha na kilimanjaro zikapoa ila Mungu akafanya yake.
Kitu nachokubaliana na wew ni kuwa hakuna mlima mrefu kama meru [emoji28]......eti hakuna camping,na luxury estates.......nadhani mwanza unaijulia kwenye battle za jamii forum tu ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nshaweka sana huko nyuma mpaka takwimu na mkazikataa, we don't have time for that non sense, mna insecurity you want to feel better kwa kujishindanisha na giant alietulia zake. Mji wa kishamba bana ata madem ukisema unatoka mwanza wanajua boya. Nimewachoka watu wa Mwanza
Unaambiwa ulete hivyo ulivyoviandika watu tukujibu unapiga domo tu vilete tuvione hivyo vitu ambavyo washamba wa mwanza hatuna
 
Nshaweka sana huko nyuma mpaka takwimu na mkazikataa, we don't have time for that non sense, mna insecurity you want to feel better kwa kujishindanisha na giant alietulia zake. Mji wa kishamba bana ata madem ukisema unatoka mwanza wanajua boya. Nimewachoka watu wa Mwanza
[emoji28][emoji28][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12].....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nshaweka sana huko nyuma mpaka takwimu na mkazikataa, we don't have time for that non sense, mna insecurity you want to feel better kwa kujishindanisha na giant alietulia zake. Mji wa kishamba bana ata madem ukisema unatoka mwanza wanajua boya. Nimewachoka watu wa Mwanza
[emoji3][emoji3] kwa akili yako unahisi ni kwa nini kila mwenye mkoa wake analeta ku battle na Mwanza, utasikia, mza vs arusha, mza vs dom, mza vs mbeya, mza vs kisumu , lakini hutowahi kuskia arusha vs dom nk nk unahisi ni kwa nini kila mtu anataka kujipima na mwanza??
 
Back
Top Bottom