Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mambo ya Mwanza hayo[emoji28][emoji28]
Screenshot_20230220-091528~2.jpg
Screenshot_20230220-091628~2.jpg
Screenshot_20230220-091718~2.jpg
Screenshot_20230220-091908~2.jpg
Screenshot_20230220-091957~2.jpg
Screenshot_20230220-092147~2.jpg
Screenshot_20230220-092413~2.jpg
Screenshot_20230220-092318~2.jpg
 
Ukubali tu huna cha kupost na 'utima' wako.Kama ulijua ni vya kitoto why umepiga kambi sasa kwa huu uzi na unajua huu uzi unasindikizwa na evidence za picha?
Una makelele mengi sana bila content..

Fikeni size hii ya Chuga ndio uje kupayuka

Chuga [emoji91][emoji91]
 
Hakuna mtu yeyote kutoka mwanza anaweza kunieleza kitu,SI unit, yani kipimo cha washamba. Nyie fanyenu battle na singida, kahama huko. Miji ya kimataifa achaneni nayo. Eti mwanza kwanza ni aibu ata kutaja ujanja na mwanza na ujanja kwenye sentensi moja. Hakuna battle tusisumbane, nipo arusha pyramids kama unapajua malofa nyie mashamba hamtuwezi kwa lolote. Yani kwa lolote.
Unachekesha sana.
 
Ivi nyie washamba wa mwanza bado munaleta ujiaji tu?
Tuanze kudondosha mapicha apa mukimbiye?
Umeshavurugwa na chelshit yako, hii Mwanza ndio itakutia uchizi kaa kwa kutulia upunguze stress ulizonazo we mbwiga tu.
 
Kama vile kina Mramba,Msuya na Mama Mkapa kupitia Mh.Mkapa walivyowapendeleeni miaka hiyo mkawa mnajiona mna uwezo wa kujenga.JPM kawaonjesheni kidogo tu tamu ya kupendelea anakotokea mlitaka kulipuka kwa makasiriko.
Hasa huyo msuya ndio alikuwa fala sana alipeleka umeme adi kwenye migomba, barabara adi kwenye vichochoro, huyo msuya alikuwa mbaguzi sana, pili mkapa alipeleka maendeleo sana huko kaskazini kuliko sehemu yoyote kwa nguvu ya mke wake kwasababu alikuwa mchaga, walikuwa wamezoea maendeleo ya mbeleko akaja jemedari akasema kila sehemu inastahili kupata maendeleo ikawa tabu kwao na kuanza kumchukia magufuli, uzuri Rais Samia amesha wajua hao watu naye amewakatia mirija ya mbeleko.
 
Back
Top Bottom