Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Kama vile kina Mramba,Msuya na Mama Mkapa kupitia Mh.Mkapa walivyowapendeleeni miaka hiyo mkawa mnajiona mna uwezo wa kujenga.JPM kawaonjesheni kidogo tu tamu ya kupendelea anakotokea mlitaka kulipuka kwa makasiriko.Wamshukuru sana jiwe hawa,aliwapa upendeleo flani [emoji1787]