Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Bus stages mmezidi Arusha

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Google via duct ujue ni mnyama gani
maxresdefault-3.jpg
 
Unajidanganya, itajengwa dualcarriage way from Tengeru all the way hadi Holili...ni dualcarriage way ndefu itakayounganisha Arusha na Kilimanjaro hadi mpakani Rombo...
Bila kusahau barabara za miji, kuna barabara ya kuunganisha wilaya ya siha na rombo nayo inakuja...
Kwa kifupi serikali hua haikosei kujenga sshemu ambazo wanaokota kodi hua wanajua wanachofanya

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mwanza wanajenga dual carriage ya 54km from Mwanza city to mwanangwa.
 
Katika siku ambayo hujatumia akili ,,ni Leo ...
Hawa watu na magari ,,yakiwa yanakaa masaa 2 kwenye foleni kusubiri feli ...ni hasara kubwa mno kiuchumi...

Sa hvi Kuna online tuition za uchumi .. google ujifunzeView attachment 2526660

Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize flyover za ubungo na tazara Zina impact Gani kiuchumi hatakujui kwa mkitadha wa majibu na uelewa wake. Ndo ujue tunabishana na mbu mbu
 
Back
Top Bottom