Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Pato la mkoa sio utajiri

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nini kumbe...,,,unapopima regional wealth una option ya kutumia methods tatu ,,,1 inaitwa income approach hapa unajumlisha vipato na mapato yote ya watu ,taasisi nk..2 unatumia expenditure approach (unaangalia matumizi yote yaliyofanyika ndani ya mkoa .3 output method (thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya mkoa ...
Usiwe mjinga ,,,.... elimu hii ni Bure tu ukijua kutumia bando lako vizuri sio lazima uende school of economics

Sent using Jamii Forums mobile app
 
images (5).jpeg

Harrier za Arusha
 
So unatofautishaje pato la mkoa na utajiri?
Utajiri ni nn kwanza

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Sa hv tourism sector sio centralized kama zamani kuwa Kila kitu Arusha ... maeneo mengine ya utalii yanazidi kupata momentum,,kama Zanzibar, mwanza, Kilimanjaro, Morogoro,na iringa..
Habari za Arusha zinapitwa na wakati kama huamini subiri baada ya miaka 5 ..
Zamani AICC ilikuwa inawabeba lakin sa hv baada ya kufunguliwa Kwa JNICC , mikutano mingi inaishia dar ,,, dodoma na wao wanajenga conference center kubwa ,the same applies to Mwanza..

Sent using Jamii Forums mobile app
Jinga kweli, halijui JNICC, ni branch ya AICC.
 
Bata gan mlilonalo ,,,,au shivazi [emoji28][emoji28].. mwanza unapata Kila burudani unayoitaka ,,,,,, nitajie resorts 3 Kali hapo Arusha nilefts Uzi [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Resort unafaham maana yake? Unaifaham the gran melia? Mount meru? Hapo mwanza hakuna takataka yoyote inayokuta hizo.
 
Sasa kama akiba anayo dewji nyinyi mnagawanywa pesa zake kwa makaratasi sio uhalisia, dar kuna matajiri wengi na watu wengi wana vipato hafifu, kitakwimu wanabebwa na matajiri kiuhalisia ndoto, ndio maana mimi huwa sisumbuki na takwimu
Oyo ndio world standard ila kikubwa wewe binafsi uwe na maisha mazuri ndio ina make sense zaidi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom