Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sababu ni vitu vya kawaida sana arusha, nobody is thrilled, hatushtuki ndio maana ata picha hatupigi. Ila sasa mwanza bado mpo kwenye phase ya wow kwa kila kitu, mmeanza kuona hivo vitu jana tu. WASHAMBA, google basi ata arusha kwenye travel advisor au booking.com, au nenda directly kwenye google uandike chochote. Au kama unapenda sana picha ingia instagram mkatolewe tongotongo. Washamba wa Mwanza, ndio maana mnadharauliwa nchi nzima. Ukisema tu unatoka mwanza tayari wanajua hakuna maajabu.
Kwa akili yako unafikiri viwanja vyao Arusha hatuvijui mpaka shupaze shingo kutudanganya hapa?
 
Sababu ni vitu vya kawaida sana arusha, nobody is thrilled, hatushtuki ndio maana ata picha hatupigi. Ila sasa mwanza bado mpo kwenye phase ya wow kwa kila kitu, mmeanza kuona hivo vitu jana tu. WASHAMBA, google basi ata arusha kwenye travel advisor au booking.com, au nenda directly kwenye google uandike chochote. Au kama unapenda sana picha ingia instagram mkatolewe tongotongo. Washamba wa Mwanza, ndio maana mnadharauliwa nchi nzima. Ukisema tu unatoka mwanza tayari wanajua hakuna maajabu.
We fala kumbe, rustic. Endelea kuvuta bangi ubongo ujae ukungu wa Moshi ili ujinga wako uendelee kuimarika.
 
Taarifa
2b522887a65feada534d8dac83720100e1f1e7bb.jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Sababu ni vitu vya kawaida sana arusha, nobody is thrilled, hatushtuki ndio maana ata picha hatupigi. Ila sasa mwanza bado mpo kwenye phase ya wow kwa kila kitu, mmeanza kuona hivo vitu jana tu. WASHAMBA, google basi ata arusha kwenye travel advisor au booking.com, au nenda directly kwenye google uandike chochote. Au kama unapenda sana picha ingia instagram mkatolewe tongotongo. Washamba wa Mwanza, ndio maana mnadharauliwa nchi nzima. Ukisema tu unatoka mwanza tayari wanajua hakuna maajabu.
Kunywa soda mangi ntalipa
 
Watu elfu 15 kati ya watu milioni 2.4 ,,,au tuseme labor force ni watu milion 1.,,hao elfu 15 ndio viwandani . calculate percentage

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa nyepesi kama ile umeshindwa kuielewa kweli?
Yaani iyo ndio mikoa ambayo inaviwanda vingi kwa kifupi...Sasa Mwanza jiji la pili kwa ukubwa linakuaje halina viwanda?unajua nikisema mm mtasema nawatukana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Taarifa nyepesi kama ile umeshindwa kuielewa kweli?
Yaani iyo ndio mikoa ambayo inaviwanda vingi kwa kifupi...Sasa Mwanza jiji la pili kwa ukubwa linakuaje halina viwanda?unajua nikisema mm mtasema nawatukana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nadhani ungeniletea takwimu za viwanda,ningekuelewa then unambie pwani iwe viwanda vidogo kuliko babati manyara [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakubwa ili tuende sawa nikileta taarifa nenda kahangaike na Google uje na yako ambayo unaona ina I favor mwanza...haiwezekani mimi nikuletee taarifa zote

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ni ujinga kutumia taarifa ya 2016 huku ukithibitisha taarifa ya sas ipo.

Kama unajua pwani inaongoza saiv why ulete taarifa ya zaman kama sio wehu ni nin.
 
Back
Top Bottom