Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hii ndama Hainaga evidence kazi yake ni kusifia tu.
We google huijui? Clinton, Obama nk. Wastaafu kila kukicha wapo Arusha , Hollywood celebrities kenge kweli mshamba tu kutoka mji kijiji. Shamba city , HQ ya malimbukeni, HQ ya washamba.
 
Hamn aliebisha marais hawakuja arusha. Question was upo uthibitisho hao marais walilala arusha ? If not what so special sabab hata chato kiongoz wa china alienda.

Mje na kitu reasonable na sio viongozi kuja arusha yet sehem nyingine pia wamefika.
Yes Arusha ndio mkoa wa kwanza kuwa na accomodation za kutosha zenye hadhi kipindi cha nyuma. Marais wengi na wanadiplomasia walikuwa wanaishia Arusha ata sio Dar, kama ulikuwepo in the early 90s unaweza ku relate.
 
Sawa ila interms of development mpo nyuma [emoji3].
Hali ya hewa TKO
UChumi TKO
Infrastructure TKO
Wepes wa maisha TKO
Ushawishi TKO
Mandhari TKO

#NAWASILISHA
 
We ulinganishe hali ya hewa ya arusha na huko kwenu kwenye mazalia ya mmbu....uko serious kweli we jamaa[emoji3][emoji3]

Alaf nyie mnaushawishi gani uko ziwan mbele ya arusha makao makuu ya east africa

Haya tuendelee
HOTEL KO
BIASHARA KO
UCHANGAMFU WA MJI KO
UTALII KO
MASHIRIKA YA KIMATAIFA KO
TAASISI ZA ELIMU KO
MIKUTANO KO
UMAARUFU KO

NB: ukitaka baridi kali nenda njombe na makambako huko..arusha kuna kahali flani kama uko kwenye ac vile[emoji3]
View attachment 2532571
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hali ya hewa TKO acha ubishi.Kwaio wew unaona baridi ndo hali ya hewa safi. Karibu mwanza kweny hali ya hewa swafi kuliko jiji lolote nchini.

Influence ipi mnayo ban [emoji23][emoji23].

Tuendelee

Biashara TKO
Mbususu za kiwango TKO
Mzunguko wa pesa TKO
Sekta ya afya TKO
Sekta ya elimu TKO
 
Hao wanatako sura hawana bhana [emoji3][emoji3] pisi za maana ziko chuga
 
We ulinganishe hali ya hewa ya arusha na huko kwenu kwenye mazalia ya mmbu....uko serious kweli we jamaa[emoji3][emoji3]

Alaf nyie mnaushawishi gani uko ziwan mbele ya arusha makao makuu ya east africa

Haya tuendelee
HOTEL KO
BIASHARA KO
UCHANGAMFU WA MJI KO
UTALII KO
MASHIRIKA YA KIMATAIFA KO
TAASISI ZA ELIMU KO
MIKUTANO KO
UMAARUFU KO

NB: ukitaka baridi kali nenda njombe na makambako huko..arusha kuna kahali flani kama uko kwenye ac vile[emoji3]
View attachment 2532571
Mwanza ni hali flan hiv ata mwenye ugonjwa wa COPD anaishi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hali ya hewa TKO acha ubishi.Kwaio wew unaona baridi ndo hali ya hewa safi. Karibu mwanza kweny hali ya hewa swafi kuliko jiji lolote nchini.

Influence ipi mnayo ban [emoji23][emoji23].

Tuendelee

Biashara TKO
Mbususu za kiwango TKO
Mzunguko wa pesa TKO
Sekta ya afya TKO
Sekta ya elimu TKO
Mwanza ina influence gani labda? Arusha ina influence mpaka namna watu wanaongea. Jinga kweli. Mwanza ni wa kutapeliwa tu. Kutwa kuuana kisa mapenzi na uchawi.
 
We ulinganishe hali ya hewa ya arusha na huko kwenu kwenye mazalia ya mmbu....uko serious kweli we jamaa[emoji3][emoji3]

Alaf nyie mnaushawishi gani uko ziwan mbele ya arusha makao makuu ya east africa

Haya tuendelee
HOTEL KO
BIASHARA KO
UCHANGAMFU WA MJI KO
UTALII KO
MASHIRIKA YA KIMATAIFA KO
TAASISI ZA ELIMU KO
MIKUTANO KO
UMAARUFU KO

NB: ukitaka baridi kali nenda njombe na makambako huko..arusha kuna kahali flani kama uko kwenye ac vile[emoji3]
View attachment 2532571
[emoji3][emoji23][emoji23] we ni juha, biashara? Uchangamfu?
 
Mwanza ina influence gani labda? Arusha ina influence mpaka namna watu wanaongea. Jinga kweli. Mwanza ni wa kutapeliwa tu. Kutwa kuuana kisa mapenzi na uchawi.
Na albino maskin bila kusahau vikongwe dah[emoji25]
 
Back
Top Bottom