Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

images (20) (25).jpeg

BOT arusha
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...yaani mmekimbilia kwenye hard ware ...mnatia huruma sana ...hii kazi Nampa Kitombile Nick joseph @wilsonwizzo na shabanmbarak .....wataleta mega hardware za kina manjis ,mwanza huduma nk...tuone kama arusha mtakuwa na ubavu .

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha kuongezea mwanza ndo inaongoza kwa ujenzi wa kisasa so matumiz ya hardware ni makubwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha kuongezea mwanza ndo inaongoza kwa ujenzi wa kisasa so matumiz ya hardware ni makubwa
Ndio maana mmezidiwa majengo ya kisasa na maghorofa, rejea takwimu za NBS. Mwanza mnaotaga eeh
 
Back
Top Bottom