Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Mijengo [emoji92]View attachment 2552366View attachment 2552367
Sasa hilo ni kanisa au nyumba ya kuishi? Hahaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mijengo [emoji92]View attachment 2552366View attachment 2552367
Tuma iyo yako ...tunataka mijengoSasa hilo ni kanisa au nyumba ya kuishi? Hahaaaa
The beauty of Mt.Meru[emoji3059]...mwanza ukiacha ziwa Kuna nini kingineView attachment 2552558
Tuma iyo yako ...tunataka mijengo
Tuzione mkuuMbuga za wanyama, visiwa, mbuga za wanyama hazipo mbali na mwanza
Huo wa kwanza nao ni mjengo? Unatujazia saver tu na nyumba za kawaida.Mijengo [emoji92]View attachment 2552366View attachment 2552367
Hata ile ya kwanza ni kawaida kabisa.Watu wakiamua kupost za level hiyo mbona ni nyingi sanaSasa hilo ni kanisa au nyumba ya kuishi? Hahaaaa
Tuma za Mwanza babu hatutaki maneno leta vitendoHuo wa kwanza nao ni mjengo? Unatujazia saver tu na nyumba za kawaida.
Daraja hili kila siku mnapost Amna kingine kipya
Nimekupostia uone maendeleo yake ...Daraja hili kila siku mnapost Amna kingine kipya
Zongii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Tuma za Mwanza babu hatutaki maneno leta vitendo
It looks awesome, na wameanza kuziba hizo girders, hakika kazi iendelee, hii mchalii wa r watatafuta pakujificha.
Ili tupate updates, progression ya mradiDaraja hili kila siku mnapost Amna kingine kipya
Hivi vitu Huwa mnavionaga kwa ma Tv ila mkija Arusha mnavipata liveIli tupate updates, progression ya mradi
Uwe unataja na mitaaHivi vitu Huwa mnavionaga kwa ma Tv ila mkija Arusha mnavipata liveView attachment 2552929
Ili lisanamu lipo wapi?Hivi vitu Huwa mnavionaga kwa ma Tv ila mkija Arusha mnavipata liveView attachment 2552929