ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi so mwenyeji wa Arusha ila nipazuri asee ...Mwanza tumezidiwa mbali sana na Arusha.Angalia watu wa Arusha wakiiifia Mwanza[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2575841
Wale wa Kijiji Cha Wavivi mpo?
Acha wivu leta jengo Kali kama ntc Arusha kutoka huko kwenye mwalo wa uvuvi.Huyu limbukeni wa njombe kumbe Bado yupo
Jengo linatafuta wapangaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha wivu leta jengo Kali kama ntc Arusha kutoka huko kwenye mwalo wa uvuvi.
Acha wivu leta jengo Kali kama ntc Arusha kutoka huko kwenye mwalo wa uvuvi.
Watu wa arusha mkiona hv mnaumia sana[emoji116]Acha wivu leta jengo Kali kama ntc Arusha kutoka huko kwenye mwalo wa uvuvi.
Yani Sehemu ya kishua Iko mchanganyikeni hivi?Capripoint during night,,,mwanza inogile View attachment 2577060
Umeona changanyiken hapo hizo dinga sio daladalaYani Sehemu ya kishua Iko mchanganyikeni hivi?
Unaweza kuwa na population ya watu maskiniFact is Mwanza imeizidi Arusha kwa vitu vingi, hata population ya Mwanza ni kubwa kuliko ya Arusha.
Na hiyo sababu yako ya kutoipenda ndio imesababisha jiji la Mwanza kukua na kuendelea kukua zaidi kwasababu halina mpinzani wa karibu, angalia , Tanga, morogoro, pwani na miji mingine ilihokaribu na Dar, miji yote imedumaa na imenyonywa na dar.Mwanza poa Sana,siipendi tu kwa sababu ipo mbali na Dar es salaam
Lini itafika level hizi za Arusha?Mwanza poa Sana,siipendi tu kwa sababu ipo mbali na Dar es salaam
Haha ha uku ni uswekeni tu yani hizi zinawatosha mkuu. Usiumize sana 😂😂😂😂Ni hiyo KIJENGE huku ni Uswekeni still jamani[emoji28]..mwanza bado Sanaa ...jiji gani hauna Hata Airbnb View attachment 2547303View attachment 2547304View attachment 2547306