Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Acha wivu leta jengo Kali kama ntc Arusha kutoka huko kwenye mwalo wa uvuvi.

Jengo linatafuta wapangaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230404-214153.jpg
 
Mwanza poa Sana,siipendi tu kwa sababu ipo mbali na Dar es salaam
Na hiyo sababu yako ya kutoipenda ndio imesababisha jiji la Mwanza kukua na kuendelea kukua zaidi kwasababu halina mpinzani wa karibu, angalia , Tanga, morogoro, pwani na miji mingine ilihokaribu na Dar, miji yote imedumaa na imenyonywa na dar.
 
Back
Top Bottom