Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza mkoa wapi kuna kijiji ebu taja kijiji kimoja
Mkuu kati kati ya mji watu wanaongea kisukuma tu kama vile tuko misungwi au katoro shinyanga. Tunajua mwanza ni kwa wasukuma ila kitendo cha kuongea hadi sehemu maalumu kisukuma hii ni ajabu Sana
Ushamba ni nini? Naona mnajificha kwenye neno "ushamba"
Mkuu ushamba ni hali ya kujifanya unajua kila kitu mfano izo picha za vijumba vyenu mnavyotuma ndio zinaonesha jinsi gani nyie ni primitive yani siyo watu wa kuzunguka miji mingine kabisa
 
Mkuu kati kati ya mji watu wanaongea kisukuma tu kama vile tuko misungwi au katoro shinyanga. Tunajua mwanza ni kwa wasukuma ila kitendo cha kuongea hadi sehemu maalumu kisukuma hii ni ajabu Sana

Mkuu ushamba ni hali ya kujifanya unajua kila kitu mfano izo picha za vijumba vyenu mnavyotuma ndio zinaonesha jinsi gani nyie ni primitive yani siyo watu wa kuzunguka miji mingine kabisa
Katoro na shinyanga ni vijiji vya Mwanza au sio.
 
Sio "mutu", wewe ni mrundi utakuwa, sema "mtu"
Mimi nina asili ya watu wa Ruanda ila usitoke inje ya topiki Kwa jinsi mulivyoiprizenti mwanza hapa na mimi nilipo uku kuenu mbona ni vitu viwili tofauti

Inakuaje mji kama huu munaipa hipe kubwa halafu haina mwingiliano mukubwa wa watu. Unakatiza kwenye daladala konda anauliza kituo kwa kisukuma, unasikia boya kajibu uko kwa kisukuma.
Dah sasa ni vip mwanza ikawa jiji wakati hata dodoma kuna muingiliano mukubwa wa watu
 
Sio"Ruanda" bali ni "Rwanda" 😝😝😝, nimechoka kufundisha hii masai, hapa inatosha kudhihirisha ushamba wenu, kama lugha ya kiswahili hujui unajua lugha gani?
 
Back
Top Bottom