Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

KONK MASTER haha sasa tazama Dar Ina machinga complex Ina Soko la kariakoo ,Ina Soko la kisutu ,magomen n.k Lakin Bado serikali Ina limbikiza miradi kibaoo ..unategemea nchi inafunguka kirahisi[emoji23] ...wakati kuna mikoa ya potential kama Mwanza ,Arusha ,Mbeya na Tanga
swahilitimes-20230421-0001.jpg
 
KONK MASTER haha sasa tazama Dar Ina machinga complex Ina Soko la kariakoo ,Ina Soko la kisutu ,magomen n.k Lakin Bado serikali Ina limbikiza miradi kibaoo ..unategemea nchi inafunguka kirahisi[emoji23] ...wakati kuna mikoa ya potential kama Mwanza ,Arusha ,Mbeya na TangaView attachment 2594788
This is My Country, Pwani na Dar ndio Tanzania Arusha na Tanga ni Kenya Lake Zone Unganeni na Rwanda🤣🤣🤣🤣, na bado tunajenga Arena
 
Nmeona hii ad mwenyew najiuliza sana,,,boss Amin viongozi na serikali Kwa ujumla Wana ushamba na ukale sana yaan hapo waliona wakiweka majiji mengine ambayo ata soko TU hamna kiufup at mwanza masoko hatna ukiacha linalojengwa nalo ad mwakan ndo linakamilka lakin dar utashangaa likiisha Hilo wanaanzisha tena.itachukua muda sana huu upuuzi kuisha
 
Kweli nakubali Sina pingamiz maana at naona Kwa macho ila hapa dawa ni serikali ya majimbo tuone hyo Dar mapato kama wataongoza maana ni upuuzi TU wanacentralize mapato mgodi upo geita Kodi inalipwa dar wakat Hawa dar ukitoa Bandari hamna Kila kitu
This is My Country, Pwani na Dar ndio Tanzania Arusha na Tanga ni Kenya Lake Zone Unganeni na Rwanda🤣🤣🤣🤣, na bado tunajenga Arena
Ku
 
Kweli nakubali Sina pingamiz maana at naona Kwa macho ila hapa dawa ni serikali ya majimbo tuone hyo Dar mapato kama wataongoza maana ni upuuzi TU wanacentralize mapato mgodi upo geita Kodi inalipwa dar wakat Hawa dar ukitoa Bandari hamna Kila kitu

Ku
Kabisa ingetakiwa kila mkoa uwe na pesa za kujenga miradi yao ..haiwezekan mapato ya sato na Sangara kutoka mwanza inaenda kujengewa Arena dar ,Mapato ya utalii Arusha inaenda kujenga Mwendokasi dar Yani kwamba tz nzima dar ndo kuna folen mikoa Mingine folen hamna wanazingua sana
 
Mbona mapato ya bandari yanaenda kujenga arusha bypass

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa ingetakiwa kila mkoa uwe na pesa za kujenga miradi yao ..haiwezekan mapato ya sato na Sangara kutoka mwanza inaenda kujengewa Arena dar ,Mapato ya utalii Arusha inaenda kujenga Mwendokasi dar Yani kwamba tz nzima dar ndo kuna folen mikoa Mingine folen hamna wanazingua sana
Now wanajenga arena halafu walivo waajabu mikoan wanawapa render mnazan mnajengewa kumbe danganya toto mtakaa ata miaka minne ila dar wakisema kinafanyika haraka viwanja vya mpira kama vyote,na arena najiuliza Kwan wakipiga kiwanja Cha mpira Arusha,mbeya na MWANZA bas timu ziwe znachezea at mikoan hususani Simba na yanga lakin Kila kitu dar huu ni upuuzi sana,,

Kule mbeya kiwanja kixhachakaa balaa na Ile garden wakaparua nikazan wanajenga au kuweka kitu Cha maana lakin hola,Kuna muda waliongea Kwa mbwembwe kweli wanajenga mall na eneo lipo lakin ad Leo ila dar wakisema ni chapu TU

Angalia machinga wanapigwa marufuku huku mikoani huku Hamna soko la maana la kuwakusanya
 
Kweli nakubali Sina pingamiz maana at naona Kwa macho ila hapa dawa ni serikali ya majimbo tuone hyo Dar mapato kama wataongoza maana ni upuuzi TU wanacentralize mapato mgodi upo geita Kodi inalipwa dar wakat Hawa dar ukitoa Bandari hamna Kila kitu

Ku
Tena hii ya Kampuni lipo Geita kodi Dar nachukia sana, Mwenyew naona kila mtu Ale kwa Urefu wa Kamba yake
 
Now wanajenga arena halafu walivo waajabu mikoan wanawapa render mnazan mnajengewa kumbe danganya toto mtakaa ata miaka minne ila dar wakisema kinafanyika haraka viwanja vya mpira kama vyote,na arena najiuliza Kwan wakipiga kiwanja Cha mpira Arusha,mbeya na MWANZA bas timu ziwe znachezea at mikoan hususani Simba na yanga lakin Kila kitu dar huu ni upuuzi sana,,

Kule mbeya kiwanja kixhachakaa balaa na Ile garden wakaparua nikazan wanajenga au kuweka kitu Cha maana lakin hola,Kuna muda waliongea Kwa mbwembwe kweli wanajenga mall na eneo lipo lakin ad Leo ila dar wakisema ni chapu TU

Angalia machinga wanapigwa marufuku huku mikoani huku Hamna soko la maana la kuwakusanya
Hata machinga complex wangejenga pia kwenye majiji kama Mwanza,mbeya , Tanga na Arusha mana hizi zinapopulation sana za watu ...tazama eti dodoma imepewa hadhi ya Jiji juzi nayo saivi Wana mpango wakujengewa complex
 
Hyo mali inajengwa kama geresha ya kupamba mji ila kuleta faida ni nadra sana .. Ukweli ni kwamba sehemu nyingi kwa sasa ofisi hazina watu kabisa sehemu xa kupanga hata Mall unaweza kuta nafasi watu wengi wamerundika Dar na Mwanza kwa mbali ndo kuna population kubwa ...
 
Wanastahili kupigwa konzi ya utosi kurestore mafaili Yao pengine yamejamu

Dodoma wanamaliza Hela Kishamba sana na Haina potential kabisa itasimama na kuduwaa maana pahovyo mno
 
Hyo mali inajengwa kama geresha ya kupamba mji ila kuleta faida ni nadra sana .. Ukweli ni kwamba sehemu nyingi kwa sasa ofisi hazina watu kabisa sehemu xa kupanga hata Mall unaweza kuta nafasi watu wengi wamerundika Dar na Mwanza kwa mbali ndo kuna population kubwa ...
Ndo hivo soon future ya dodoma ukweli hii awamu ikiisha ndo bas tena
 
Mji wa Tanga wameshagautelekeza now ndo wanakomaa kuboresha Bandari swali je miaka yote hawakujua kuwa hyo Bandari ni potential? Au kjizima data TU.tanzania tumebarikiwa mno kuwa na Bahar,ziwa,madini tena baadhi ya madini adimu Dunia nzimana mbuga za wanyama lakin majiji yake yamekaa kiyatma nchi Iko busy na dsm, wakat Kuna nchi Haina mbuga,madini,ziwa Wala bahari na Iko mbele at majiji yake ukifika unajua kweli wanabalance maendeleo
 
Mji wa Tanga wameshagautelekeza now ndo wanakomaa kuboresha Bandari swali je miaka yote hawakujua kuwa hyo Bandari ni potential? Au kjizima data TU.tanzania tumebarikiwa mno kuwa na Bahar,ziwa,madini tena baadhi ya madini adimu Dunia nzimana mbuga za wanyama lakin majiji yake yamekaa kiyatma nchi Iko busy na dsm
Mzee hapa kuna tatizo jiulize bandari ina miaka mingapi pale ndo wamrekebisha juzi yaani hakuna mtu atajali mahali unless pawe kwao ndo uongozi wa bongo....Tanga ya miaka 80's ndo ile ile hakuna jengo jipya na viwanda vinakufa then mtu anakuja "watu wa Tanga wavivu" 😂.

Kazi hamna acha wacheze bao .
 
Mji wa Tanga wameshagautelekeza now ndo wanakomaa kuboresha Bandari swali je miaka yote hawakujua kuwa hyo Bandari ni potential? Au kjizima data TU
Mzee hapa kuna tatizo jiulize bandari ina miaka mingapi pale ndo wamrekebisha juzi yaani hakuna mtu atajali mahali unless pawe kwao ndo uongozi wa bongo....Tanga ya miaka 80's ndo ile ile hakuna jengo jipya na viwanda vinakufa then mtu anakuja "watu wa Tanga wavivu" 😂.

Kazi hamna acha wacheze bao .
Kweli acha wacheze bao maana Kuna viwanda na majengo mazr yaliachwa na mkoloni lakin now ni magofu na viwanda vimekufa,

Kilwa Sasa duuh ni hovyo kabisa et mji wa kwanza kjitengenezea pesa yake ila fika uone 😂😂😂
 
Hata machinga complex wangejenga pia kwenye majiji kama Mwanza,mbeya , Tanga na Arusha mana hizi zinapopulation sana za watu ...tazama eti dodoma imepewa hadhi ya Jiji juzi nayo saivi Wana mpango wakujengewa complex
Wataalamu wa render ukihoji watakupa bonge la mchoro wa MACHINGA complex Arusha subili Lin watajenga Sasa,,ila dar wakiomba muda huo kesho inatangazwa tender na mkandarasi anaingia site
 
Hata machinga complex wangejenga pia kwenye majiji kama Mwanza,mbeya , Tanga na Arusha mana hizi zinapopulation sana za watu ...tazama eti dodoma imepewa hadhi ya Jiji juzi nayo saivi Wana mpango wakujengewa complex
Wataalamu wa render ukihoji watakupa bonge la mchoro wa MACHINGA complex Arusha subili Lin watajenga Sasa,,ila dar wakiomba muda huo kesho inatangazwa tender na mkandarasi anaingia
 
Back
Top Bottom