Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Hicho chuo ndugu kitabakije gofu?Hilo jengo lilishabaki gofu kama yale ya kilwa songa mnara ya kilwa kivinje, baada ya muda litawekwa kwenye majengo ya kihistoria yalibaki ukiwa kama mapango ya olduvai gorge.