Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hii ndio mwanza [emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230616-104220_PLAYit.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] leo arusha imeiweka ligi moja na capripoint+posta
Hivi ndio mana nasema Mwanza ni ndogo mno..kumbe kapri point ndio hako ka jengo ka nssf kalipo?!...sasa sehemu ya kishua kama iyo inachangnyikanaje na Majengo hayo?..kweli Mwanza Haina mpangilio ulionyooka
 
Majengo yapi ....we unadhani hicho Kijiji chako kina majengo mazuri kama capripoint
 
Hivi kumbe hata mwanza haujawahi kufika[emoji3][emoji3] kila siku umekazana na huo msemo wa kumbe mwanza ni ndogo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Majengo yapi ....we unadhani hicho Kijiji chako kina majengo mazuri kama capripoint
Duh Emu njoo utembele Arusha asee ..sehemu za kishua kama Moshono uwezi Kuta maghorofa marefu ya mashirika yamechanganyikan na nyumba za watu
 
Sasa mfano hata Mwanza dala dala zikigoma ni sehemu moja zitagoma? Si mkoa mzima
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti mkoa mzima jiji la mwanza tunarut ndefu ndefu ambazo hakuna Bajaj inaweza zimudu
Mwanza mjini 99% ni daladala sio Bajaj kama arusha huku Bajaj utazijuta nje ya mji
Mfano; buzuruga,nyasaka,maduka tusa,kijereshi,buswelu,igoma,national,mahina nk....

Mwanza hauwezi kukuta daladala na Bajaji zinashare route moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na jiji la mwana lina ruti zaidi ya 15+ za daladala

Mwanza kuna ruti hadi za masaa wawili umekaa tu kwenye daladala kitu kitu ambacho kwa arusha ni ndoto[emoji1787] halafu unakuja unasema kua jiji la mwanza ni dogo kwa arusha nakuona nakuona kama kituko[emoji1787]
 
Kutoka Sokoni 1 kwenda USA unajua unatumia muda gani?!...Alafu kitu ambacho hujui Arusha route ndefu ndefu Kuna Costa broo hakuna daladala
 
Kumbe haujui hata maaana ya daladala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoka sokoni 1 kwenda usa river unapita mashamba mangapi[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom