Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ndo hivyo Hadi mashamba ya kahawa ,,,,[emoji16][emoji16][emoji16].....
Sio Mimi Bali ni Africa view facts
20230705_120036.jpg
20230705_120038.jpg
20230705_120045.jpg
20230705_120041.jpg
 
Wivu [emoji23][emoji23]
Tarehe 04 Julai 2023 Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alishuhudia hafla ya utiaji saini wa mikataba 3 ya ufadhili wa program tatu nchini Tanzania na mapokezi ya msaada wa kibajeti wa Tsh. 117.039 bilion kwa ajili ya utekelezaji wa program ya green and smart cities SASA.

Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ni moja ya halmashauri ambayo itafaidika kupitia mradi huu wa Green and Smart CIties SASA

Miradi ya Maendeleo itakayotekelezwa katika Manispaa ya Ilemela ni pamoja na;

1. Uboreshaji wa soko la samaki mwaloni
2. Uboreshaji wa mialo ya Old and new Igombe
3.Ujenzi wa soko la Buswelu.

Miradi hii itafadhiliwa na Umoja wa Ulaya kupitia shirika la maendeleo la Ufaransa (AFD) na utekelezaji wa miradi hii utaanza katika mwaka wa fedha 2023/2024.

#ilemelatunasimamanaraiswetu
Screenshot_20230705-120949.jpg
 
#ilemelatunasimamanaraiswetuView attachment 2679129
Upuuzi ule ule wa sijui kujenga masoko na mialo 🤣🤣🤣🤣

Sasa hiyo itabadili vipi hizi uswazi hapa 👇
images (1).jpg
IMG_20230630_143650_010.jpg
 
Upuuzi ule ule wa sijui kujenga masoko na mialo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa hiyo itabadili vipi hizi uswazi hapa [emoji116]View attachment 2679131View attachment 2679132
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaaa kutoka mbeya na roho yake mbaya hio picha ya juu ni picha ya zamani sana
Picha ya chini hapo ni mwaloni sehemu ya kuhifadhia ndizi zinazotoka bukoba

Wewe jamaa kule kwenye uzi wa mbeya sio jiji wanambeya wenzako wamekupiga za uso hadi umekimbia [emoji1787][emoji1787]
 
Mjumbe hauwawi 😁😁
Chuga 👇
 
Back
Top Bottom