Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Sasa hapo Kuna route hizo mkuuKumbe haujui hata maaana ya daladala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoka sokoni 1 kwenda usa river unapita mashamba mangapi[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo Kuna route hizo mkuuKumbe haujui hata maaana ya daladala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoka sokoni 1 kwenda usa river unapita mashamba mangapi[emoji1787][emoji1787]
Sasa hapo Kuna route hizo mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiace fupi
[emoji16][emoji16][emoji16]..... daladala uchafu
Sio Mimi Bali ni Africa view factsNdo hivyo Hadi mashamba ya kahawa ,,,,[emoji16][emoji16][emoji16].....
Hamna picha nyingine nje ya hizi?Sio Mimi Bali ni Africa view facts
View attachment 2679120View attachment 2679121View attachment 2679122View attachment 2679123
Wivu 😂😂Hamna picha nyingine nje ya hizi?
Tarehe 04 Julai 2023 Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alishuhudia hafla ya utiaji saini wa mikataba 3 ya ufadhili wa program tatu nchini Tanzania na mapokezi ya msaada wa kibajeti wa Tsh. 117.039 bilion kwa ajili ya utekelezaji wa program ya green and smart cities SASA.Wivu [emoji23][emoji23]
Upuuzi ule ule wa sijui kujenga masoko na mialo 🤣🤣🤣🤣Tarehe 04 Julai 2023 Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alishuhudia hafla ya utiaji saini wa mikataba 3 ya ufadhili wa program tatu nchini Tanzania na mapokezi ya msaada wa kibajeti wa Tsh. 117.039 bilion kwa ajili ya utekelezaji wa program ya green and smart cities SASA.
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ni moja ya halmashauri ambayo itafaidika kupitia mradi huu wa Green and Smart CIties SASA
Miradi ya Maendeleo itakayotekelezwa katika Manispaa ya Ilemela ni pamoja na;
1. Uboreshaji wa soko la samaki mwaloni
2. Uboreshaji wa mialo ya Old and new Igombe
3.Ujenzi wa soko la Buswelu.
Miradi hii itafadhiliwa na Umoja wa Ulaya kupitia shirika la maendeleo la Ufaransa (AFD) na utekelezaji wa miradi hii utaanza katika mwaka wa fedha 2023/2024.
#ilemelatunasimamanaraiswetuView attachment 2679129
Dah pachafu[emoji23]Upuuzi ule ule wa sijui kujenga masoko na mialo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hiyo itabadili vipi hizi uswazi hapa [emoji116]View attachment 2679131View attachment 2679132
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaaa kutoka mbeya na roho yake mbaya hio picha ya juu ni picha ya zamani sanaUpuuzi ule ule wa sijui kujenga masoko na mialo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hiyo itabadili vipi hizi uswazi hapa [emoji116]View attachment 2679131View attachment 2679132
Mzeee wa ruti ya sokoni to usa[emoji1787][emoji1787].... vipi Daladala zimeanza kufanya kazi?Dah pachafu[emoji23]
Hivi mi najiuliza ni Tanzania pekee ndio kinakuwa na branches ya vyuo au ni swala la dunia nzimaMikdde Yaani Majengo kama Mabweni ya VETA [emoji16][emoji16][emoji16]
Dunia nzima.Hivi mi najiuliza ni Tanzania pekee ndio kinakuwa na branches ya vyuo au ni swala la dunia nzima
Mjumbe hauwawi 😁😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaaa kutoka mbeya na roho yake mbaya hio picha ya juu ni picha ya zamani sana
Picha ya chini hapo ni mwaloni sehemu ya kuhifadhia ndizi zinazotoka bukoba
Wewe jamaa kule kwenye uzi wa mbeya sio jiji wanambeya wenzako wamekupiga za uso hadi umekimbia [emoji1787][emoji1787]
Jamaa muongo sana...Mzeee wa ruti ya sokoni to usa[emoji1787][emoji1787].... vipi Daladala zimeanza kufanya kazi?
Napita tuu jamani mjumbe hauwawi 😁😁Jamaa muongo sana...
AsanteDunia nzima.
![]()
First IIT in Tanzania to open in October 2023
Indian Institute of Technology (IIT) will open its first-ever overseas campus in Tanzania’s Zanzibar in October 2023 with a batch of 50 undergraduate students and 20 master’s students.www.thehindu.com
[emoji23][emoji23][emoji23]watakupupuaNapita tuu jamani mjumbe hauwawi [emoji16][emoji16]