Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Tulia we mtoto wa juzi hiyo arusha kailinganishe na kamachumu huko bukoba.
Sawa wazee wa mji mkongwe
Alafu ukichunguza kwa makini utagundua kahama inawaua taratibu mdogo mdogo kahama ndio itakua hub ya lake zone pesa itakuwepo kahama na hio kupelekea mji wenu kujifia taratibu kama musoma🙂😃😃
 
Hiyo kahama itakuja kuwa bigest slum village kama mbeya, hakuna jipya hapo, watu wote wa kanda ya ziwa na Tanganyika wanandoto za kujenga n kuishi Mwanza, a.k.a Las vegas la masia lafuella devicenza.
 
😀😀😀
 
Kuleni chuma hii haters wa Mwanza👇👇
IMG-20230920-WA0031.jpg
 
Sawa wazee wa mji mkongwe
Alafu ukichunguza kwa makini utagundua kahama inawaua taratibu mdogo mdogo kahama ndio itakua hub ya lake zone pesa itakuwepo kahama na hio kupelekea mji wenu kujifia taratibu kama musoma[emoji846][emoji2][emoji2]
Watu wa kahama wanafanya purchasing ya magari na hardware Mwanza..au hujui Mwanza magari ni bei nafuu kuliko dar ?
 
Leta figure, facts na data sio hizi porojo, hata kama wanaacha shule wameona shule hazina maslahi we huwaoni wakina kishimba na msukuma ni darasa la saba je unalingana nao wewe kajamba nani.
Ndugu yangu kitombile njoo kahama wewe Acha kujifungia uko ziwani
 
Hivi unajua matajiri wengi wa Kahama ndo wanajenga Mwanza? Mongo,Samike nk! Ila unachokisema kinawezekana ila kuiwashia moto na kuitishia Mwanza Kahama bado sana!
Kahama ni sawa na Nyegezi tu! Kahama hata magorofa inapambana na Nyegezi!
Gepu lililopo kati ya Kahama na Mwanza ni sawa na Mwanza na Dar!
Ni sawa na Mwanza kusema inaitishia Dar!
 
Huyo ni chalii ya r iliyokimbia Arusha😂😂😂😂.
 
Sasa hivi ukienda kigali watu wanaijua kahama na dar tu braza[emoji3][emoji3] sasa ngoja bandari kavu ya isaka ikamilike ndio mtaona kahama tutakavowawashia moto
We acha uongo we andazi ... angalia ruti za mabasi na Costa zinazosafirisha watu kutoka kahama kwenda Mwanza..frester ana magari si chini ya sita ,zuberi ana gari nne ,kisire gari mbili na bado alysi na Costa za kutosha..hii Ina maana kuwa Kuna trade interaction kubwa kati ya kahama na Mwanza....kahama inaendelea Kwa sababu ya mwanza..
 
Hizi
Leta figure, facts na data sio hizi porojo, hata kama wanaacha shule wameona shule hazina maslahi we huwaoni wakina kishimba na msukuma ni darasa la saba je unalingana nao wewe kajamba nani.
Takwimu sometimes ni uwendawazimu nenda Chuo chochote Tanzania hii kati ya watu 10 wa4 ni wasukuma, nenda advance yoyote ile apa Bongo asilimia kubwa ni wana Lake zone
 
Takwimu zinasema ukweli acha kujifariji.

Pia kuzaana hovyo kumeziidi.
 
Leta figure, facts na data sio hizi porojo, hata kama wanaacha shule wameona shule hazina maslahi we huwaoni wakina kishimba na msukuma ni darasa la saba je unalingana nao wewe kajamba nani.
Inamaana hizo facts hapo za dropouts Juu sio Wasukuma ni kina nani? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom