Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Kipi cha ajabu hapa, au hivi ni vitu natural tu, hata sisi tuna ziwa victoria na rocks za kipekee na fukwe zenye kaliba ya copa cabana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa wazee wa mji mkongweTulia we mtoto wa juzi hiyo arusha kailinganishe na kamachumu huko bukoba.
Hiyo kahama itakuja kuwa bigest slum village kama mbeya, hakuna jipya hapo, watu wote wa kanda ya ziwa na Tanganyika wanandoto za kujenga n kuishi Mwanza, a.k.a Las vegas la masia lafuella devicenza.Sawa wazee wa mji mkongwe
Alafu ukichunguza kwa makini utagundua kahama inawaua taratibu mdogo mdogo kahama ndio itakua hub ya lake zone pesa itakuwepo kahama na hio kupelekea mji wenu kujifia taratibu kama musoma🙂😃😃
😀😀😀Hiyo kahama itakuja kuwa bigest slum village kama mbeya, hakuna jipya hapo, watu wote wa kanda ya ziwa na Tanganyika wanandoto za kujenga n kuishi Mwanza, a.k.a Las vegas la masia lafuella devicenza.
Leta figure, facts na data sio hizi porojo, hata kama wanaacha shule wameona shule hazina maslahi we huwaoni wakina kishimba na msukuma ni darasa la saba je unalingana nao wewe kajamba nani.Kwanin wasukuma hampendi kusoma ?!View attachment 2755683View attachment 2755684
Nimekuliz kwanin wasukuma hamtaki kusomaLeta figure, facts na data sio hizi porojo, hata kama wanaacha shule wameona shule hazina maslahi we huwaoni wakina kishimba na msukuma ni darasa la saba je unalingana nao wewe kajamba nani.
Hivyo ndivyo namna ya kutengeneza hoja zako et eh .Nimekuliz kwanin wasukuma hamtaki kusoma
Watu wa kahama wanafanya purchasing ya magari na hardware Mwanza..au hujui Mwanza magari ni bei nafuu kuliko dar ?Sawa wazee wa mji mkongwe
Alafu ukichunguza kwa makini utagundua kahama inawaua taratibu mdogo mdogo kahama ndio itakua hub ya lake zone pesa itakuwepo kahama na hio kupelekea mji wenu kujifia taratibu kama musoma[emoji846][emoji2][emoji2]
Sasa hivi ukienda kigali watu wanaijua kahama na dar tu braza😀😀 sasa ngoja bandari kavu ya isaka ikamilike ndio mtaona kahama tutakavowawashia motoWatu wa kahama wanafanya purchasing ya magari na hardware Mwanza..au hujui Mwanza magari ni bei nafuu kuliko dar ?
Ndugu yangu kitombile njoo kahama wewe Acha kujifungia uko ziwaniLeta figure, facts na data sio hizi porojo, hata kama wanaacha shule wameona shule hazina maslahi we huwaoni wakina kishimba na msukuma ni darasa la saba je unalingana nao wewe kajamba nani.
Hivi unajua matajiri wengi wa Kahama ndo wanajenga Mwanza? Mongo,Samike nk! Ila unachokisema kinawezekana ila kuiwashia moto na kuitishia Mwanza Kahama bado sana!Ndugu yangu kitombile njoo kahama wewe Acha kujifungia uko ziwani
Kahama haina maajabu, uzuri unaikubali sana huwa hujivungi.Ndugu yangu kitombile njoo kahama wewe Acha kujifungia uko ziwani
Huyo ni chalii ya r iliyokimbia Arusha😂😂😂😂.Hivi unajua matajiri wengi wa Kahama ndo wanajenga Mwanza? Mongo,Samike nk! Ila unachokisema kinawezekana ila kuiwashia moto na kuitishia Mwanza Kahama bado sana!
Kahama ni sawa na Nyegezi tu! Kahama hata magorofa inapambana na Nyegezi!
Gepu lililopo kati ya Kahama na Mwanza ni sawa na Mwanza na Dar!
Ni sawa na Mwanza kusema inaitishia Dar!
We acha uongo we andazi ... angalia ruti za mabasi na Costa zinazosafirisha watu kutoka kahama kwenda Mwanza..frester ana magari si chini ya sita ,zuberi ana gari nne ,kisire gari mbili na bado alysi na Costa za kutosha..hii Ina maana kuwa Kuna trade interaction kubwa kati ya kahama na Mwanza....kahama inaendelea Kwa sababu ya mwanza..Sasa hivi ukienda kigali watu wanaijua kahama na dar tu braza[emoji3][emoji3] sasa ngoja bandari kavu ya isaka ikamilike ndio mtaona kahama tutakavowawashia moto
Kahama hii nayoijua au kahama nyingine...itaiwashia moto morogoro au Tanga na sio jiji la miambaSasa hivi ukienda kigali watu wanaijua kahama na dar tu braza[emoji3][emoji3] sasa ngoja bandari kavu ya isaka ikamilike ndio mtaona kahama tutakavowawashia moto
Takwimu sometimes ni uwendawazimu nenda Chuo chochote Tanzania hii kati ya watu 10 wa4 ni wasukuma, nenda advance yoyote ile apa Bongo asilimia kubwa ni wana Lake zoneLeta figure, facts na data sio hizi porojo, hata kama wanaacha shule wameona shule hazina maslahi we huwaoni wakina kishimba na msukuma ni darasa la saba je unalingana nao wewe kajamba nani.
Takwimu zinasema ukweli acha kujifariji.Hizi
Takwimu sometimes ni uwendawazimu nenda Chuo chochote Tanzania hii kati ya watu 10 wa4 ni wasukuma, nenda advance yoyote ile apa Bongo asilimia kubwa ni wana Lake zone
Inamaana hizo facts hapo za dropouts Juu sio Wasukuma ni kina nani? 🤣🤣🤣Leta figure, facts na data sio hizi porojo, hata kama wanaacha shule wameona shule hazina maslahi we huwaoni wakina kishimba na msukuma ni darasa la saba je unalingana nao wewe kajamba nani.