Takwimu zipi labda Mwanza inazidi Arusha?
-Mapato ya Majiji mnapigwa
-Ubora wa Maisha mnapigwa
-Makusanyo ya TRA mnapigwa
-Magorofa mnapigwa
-Viwanda mnapigwa
-Mahoteli mnapigwa
Yaani Kila kitu mnazidiwa na Arusha kasoro maskini tuu humo kwenye mabanda yenu ndio mnaizidi Arusha.
1.Mwanza ina stendi mbili kubwa nyamhongolo na stendi ya nyegezi arusha ina car wash
2.Mwanza ina soko kubwa zaidi lenye gross floor area ya m2 28000, arusha mna gulio la wakulima
3. Mwanza ina fursa nyingi za kiuchumi kama uvuvi, madini, kilimo, utalii n.kpia ni kitovu cha biashara cha nchi za maziwa makuu na kanda ya ziwa, arusha mnategemea utalii
4.Mwanza ina manispaa mbili wakati jiji la arusha lina manispaa moja
5.Mwanza ina population kubwa na jiji ni kubwa zaidi mara mbili ya arusha
6.Mwanza ina port kubwa mbili na meli za kusadirishia mizigo wakati arusha mna miliki mitumbwi ya kuvuka mito wakati wa spring
7.Mwanza inaongoza kwa idadi ya majengo mengi yaliyopo na yanayoendelea kujengwa Tanzania.
8.Mwanza ina shopping mall kubwa kuliko zote Tanzania japo sio maarufu sana kama mlimani city
9.Mwanza inaongoza kwa huduma zote muhimu kwa jamii ikiwemo,mashule, vyuo vya kati, vituo vya kutolea huduma ya afya n.k
10.Mwanza kuna skyline nzuri na ya kuvutia kuliko huko kwa wavuta bangi
11.Mwanza inapitiwa na SGR na kuna jengwa station mbili kubwa na za kuvutia pale mjini kati na pale fella
12.Mwanza kunajengwa flyover (via duct) ya 1.4 km kama ile ya Dar arusha kuna vidaraja vya kuvukia wavuta bangi.
13.Mwanza ina watu wakarimu wasio baguana kama wale watu wa kaskazini ambapo mgeni huwezi kufanya biashara
14.Mwanza ina uchumi mkubwa mara tatu zaidi ya arusha GDP ya Mwanza ni 13Trillion wakati arusha ni 5.2Trillion
N.B kuna mengi mengi nitaendelea kuandika kifupi Mwanza jitu/dude la kutisha.