Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Achaga kujifariji ujinga na ushabiki mbuzi.Hivi Mwanza inazidi nini Arusha ukiacha Population?

Hili jukwaa limejaa takwimu na zote Mwanza inakalishwa na Arusha.

Unaweza pata skyline Kali kama hii ya Arusha huko Jiji la wavuvi? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/KuP5gNj8mmA?si=DUNjgwxaxbLA4jtw

Acha maneno
IMG-20240215-WA0037.jpg
 
Achaga kujifariji ujinga na ushabiki mbuzi.Hivi Mwanza inazidi nini Arusha ukiacha Population?

Hili jukwaa limejaa takwimu na zote Mwanza inakalishwa na Arusha.

Unaweza pata skyline Kali kama hii ya Arusha huko Jiji la wavuvi? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/KuP5gNj8mmA?si=DUNjgwxaxbLA4jtw

Endelea kujifariji tu, nadhani hujafika mwanza hivi karibuni au huijui mkuu.

Ka-mji ka arusha ni kadogo sana, ni pale katikati tu kumechangamka na vighora, na vinyumba vya kizamani. Yani ukisema ukazunguke muda mfupi unakamaliza, sema wengi wenu wa huko tulishawazoea, huwa hamkubali ukweli.

Dar es Salaam

Dar es Salaam is Tanzania's largest city by far, at almost three times the size of the second largest, Mwanza.
 
Nani anaejifariji? Arusha au Mwanza? Nimekuuliza Mwanza inazidi nini Arusha hujajibu.

Ukubwa wa kujaza maskini na slums ni kitu Cha kujivunia kweli?

Dar ni kubwa Kwa Kila kitu,Sasa Mwanza inazidi nini Arusha zaidi ya idadi ya maskini?

Mwisho Mwanza naijua na sisimuliwi.Nitajie kitu Cha maana hapo Mwanza kushinda Arusha Ili twende sawa.
 
Kwahiyo umeamua kubishana na statistics!
 
Takwimu zipi labda Mwanza inazidi Arusha?
-Mapato ya Majiji mnapigwa
-Ubora wa Maisha mnapigwa
-Makusanyo ya TRA mnapigwa
-Magorofa mnapigwa
-Viwanda mnapigwa
-Mahoteli mnapigwa

Yaani Kila kitu mnazidiwa na Arusha kasoro maskini tuu humo kwenye mabanda yenu ndio mnaizidi Arusha.
 
Ulifanya sensa ukajua Arusha kuna matajiri zaidi ya Mwz?

Sensa ya masikini?
Sensa ya maghorofa?
Sensa ya viwanda na mahoteli?
 
Takwimu zipi labda Mwanza inazidi Arusha?
-Mapato ya Majiji mnapigwa
-Ubora wa Maisha mnapigwa
-Makusanyo ya TRA mnapigwa
-Magorofa mnapigwa
-Viwanda mnapigwa
-Mahoteli mnapigwa

Yaani Kila kitu mnazidiwa na Arusha kasoro maskini tuu humo kwenye mabanda yenu ndio mnaizidi Arusha.
Daah ila kaka unamatusi sana! na vita yako kubwa ni juu ya Mwanza ila nikwambie tu hii nchi ni yetu sote! Wa Mwanza yuko Arusha wa Arusha yuko Mwanza na wa Mwanza yuko Mbeya!
 
Mkikubali ukweli Wala hakuna shida
 
Takwimu zipi labda Mwanza inazidi Arusha?
-Mapato ya Majiji mnapigwa
-Ubora wa Maisha mnapigwa
-Makusanyo ya TRA mnapigwa
-Magorofa mnapigwa
-Viwanda mnapigwa
-Mahoteli mnapigwa

Yaani Kila kitu mnazidiwa na Arusha kasoro maskini tuu humo kwenye mabanda yenu ndio mnaizidi Arusha.
1.Mwanza ina stendi mbili kubwa nyamhongolo na stendi ya nyegezi arusha ina car wash
2.Mwanza ina soko kubwa zaidi lenye gross floor area ya m2 28000, arusha mna gulio la wakulima
3. Mwanza ina fursa nyingi za kiuchumi kama uvuvi, madini, kilimo, utalii n.kpia ni kitovu cha biashara cha nchi za maziwa makuu na kanda ya ziwa, arusha mnategemea utalii
4.Mwanza ina manispaa mbili wakati jiji la arusha lina manispaa moja
5.Mwanza ina population kubwa na jiji ni kubwa zaidi mara mbili ya arusha
6.Mwanza ina port kubwa mbili na meli za kusadirishia mizigo wakati arusha mna miliki mitumbwi ya kuvuka mito wakati wa spring
7.Mwanza inaongoza kwa idadi ya majengo mengi yaliyopo na yanayoendelea kujengwa Tanzania.
8.Mwanza ina shopping mall kubwa kuliko zote Tanzania japo sio maarufu sana kama mlimani city
9.Mwanza inaongoza kwa huduma zote muhimu kwa jamii ikiwemo,mashule, vyuo vya kati, vituo vya kutolea huduma ya afya n.k
10.Mwanza kuna skyline nzuri na ya kuvutia kuliko huko kwa wavuta bangi
11.Mwanza inapitiwa na SGR na kuna jengwa station mbili kubwa na za kuvutia pale mjini kati na pale fella
12.Mwanza kunajengwa flyover (via duct) ya 1.4 km kama ile ya Dar arusha kuna vidaraja vya kuvukia wavuta bangi.
13.Mwanza ina watu wakarimu wasio baguana kama wale watu wa kaskazini ambapo mgeni huwezi kufanya biashara
14.Mwanza ina uchumi mkubwa mara tatu zaidi ya arusha GDP ya Mwanza ni 13Trillion wakati arusha ni 5.2Trillion
N.B kuna mengi mengi nitaendelea kuandika kifupi Mwanza jitu/dude la kutisha.
 
3.Mwanza Ina fursa ya kiuchumi kuzidi Arusha wakati huo huo Arusha Kuna mzunguko mkubwa wa pesa na inaongoza Mapato kuzidi Mwanza 😁😁😁😁

7.Tunaomba takwimu za magorofa mnayoongoza nyie Mwanza kabla sijaweka takwimu za Sensa.Nyie mnaongoza Kwa mabanda ya nguruwe 🀣🀣

10.Labda skyline ya mabanda ya nguruwe ndio mnayoongoza 🀣🀣

Mwisho mambo mengine unayodai Kuongoza ni vitu visivyo na Msaada na maana yeyote Kwa maisha ya watu wenu hao mafukara.
 
Umeishiwa huna point😜
 
3.Uchumi haupimwi kwa mapato ya halmashauri ingawa mkoa wa Mwanza hauzidiwi mapato na arusha, SI UNIT ya uchumi kote ulimwenguni ni GDP.
7. Umesoma vizuri au unakuripuka kama nyegere, nimesema Mwanza inaongoza Tanzania kwa majengo yanayoendelea kujengwa hawaku classify mangapi ni maghorofa na mangap nyumba za kawaida
 
GDP ndio Huwa inawafariji si ndio? 🀣🀣

Kula msumari wa moto hapa πŸ‘‡πŸ‘‡
Screenshot_20240305-153634.jpg
Screenshot_20240305-180645.jpg

Arusha 75 vs Mwanza 64 πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Back
Top Bottom