Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

BMC
20240616_211318.jpg
 
Watalii waje Mwanza kuangalia nini? Au kufanyaje huko kulikojaa slums Kila mahala?

Pole sana Bado hujasema Hadi useme 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C8tJH77Kj8k/?igsh=MTQ4bmsyMmtoa3NzdQ==

My Take: Mwanza Kwa Sasa ni underdog Kwa Arusha, endeleeni kujitutumua Kwa Dodoma sio Arusha.

Hatimaye naanza kuona move nzuri kuelekea Arusha kua soko la madini 👏
Madini + utalii mzunguko utakuwepo
NB: Arusha hamna kilimo kama mbeya wala uvuvi kama mwanza ardhi yote imechkuliwa na mapori na hifadhi hadi wamasai wanahamishwa sasa hamtaki tujengewe majengo kama haya na ya utalii mnataka tuishije ndugu yangu Kitombile
 
Nani hataki? Labda haters wa Mwanza.

Waambieni haijaisha Hadi iishe 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C8zgyu-qxjB/?igsh=MTVxb2szamZhZ3d5eg==
 
You can't find this huko madizini..the only park within a city ik Tanzania
Mwanza saa nane island
20240701_215702.jpg
20240701_215711.jpg
 
Back
Top Bottom