The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poor and uglyView attachment 3019598
Nyamhongolo bus terminal
Where is your beautiful one 🙄🙄🙄Poor and ugly
Mwanza hamuwezi Arusha,kaeni Kwa kitulia 👇👇
Mwanza hamuwezi Arusha,kaeni Kwa kitulia 👇👇
View: https://twitter.com/Constafrica/status/1668191157401026562?t=EDVr28nMIZVxhIHXMrlLWg&s=19
Arusha wanapata miradi mizuri ya kiutalii, na Mwanza watupatie na sisi lijimradi la kuvutia.Mradi mzuri, hongera kwao
Arusha wanapata miradi mizuri ya kiutalii, na Mwanza watupatie na sisi lijimradi la kuvutia.
Watalii waje Mwanza kuangalia nini? Au kufanyaje huko kulikojaa slums Kila mahala?Mradi mzuri, hongera kwao
Hamjaona mnajengewa double road kuanzia usagara hadi mjiniArusha wanapata miradi mizuri ya kiutalii, na Mwanza watupatie na sisi lijimradi la kuvutia.
Watalii waje Mwanza kuangalia nini? Au kufanyaje huko kulikojaa slums Kila mahala?
Pole sana Bado hujasema Hadi useme 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C8tJH77Kj8k/?igsh=MTQ4bmsyMmtoa3NzdQ==
My Take: Mwanza Kwa Sasa ni underdog Kwa Arusha, endeleeni kujitutumua Kwa Dodoma sio Arusha.
Nani hataki? Labda haters wa Mwanza.Hatimaye naanza kuona move nzuri kuelekea Arusha kua soko la madini 👏
Madini + utalii mzunguko utakuwepo
NB: Arusha hamna kilimo kama mbeya wala uvuvi kama mwanza ardhi yote imechkuliwa na mapori na hifadhi hadi wamasai wanahamishwa sasa hamtaki tujengewe majengo kama haya na ya utalii mnataka tuishije ndugu yangu Kitombile