Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

Of coz na saiv Naona kam uchawi umekwisha, au waganga hawapo tena ingekuwa miaka flani wakat hizi Facebook na WhatsApp hazipo wazee wapo wengi..... Hili grupu La watekaji lingepukutika kwa kulogwa tu
Na mtengeneza radi amekufa huko Sumbawanga:-

IMG-20240912-WA0042.jpg
 
Naona kama dogo ana wenge hivi,mpaka picha anapost hovyo,kinachofata ni jamaa kuja hadaharani kushitaki anadhalilishwa bila ushahidi wa msingi.sijui ana hela za kumlipa au atachangiwa tena!!!!

Kama kuna wanasheria karibu yake wamshauri kitu.
Hawezi kukosea etti kumfungulia Mashtaka Dogo, hapo ndo atakua kayakoroga....!

Yani hata hao Police wenyewe wanajiuliza wafanye Nini kuhusu Sativo.

Hawawezi kumfungulia Mashtaka coz mwisho kesi itabadirika tu....!
Hawawezi kumkamata Tena, labda atekwe Tena..!
Na ikija kutangazwa kapotea, Kazi wanayo Police kuwaeleza Watanzania kilichotokea.
 
Dah nimpe pole huyu jamaa kwa nyakati ngumu alizopitia sio jambo jepesi.

Sema hapa naona kuna kitu hakipo sawa kwake.Sijui kiasi gani amejipanga kumkabili huyu mtu lakini kwa hesabu nyepesi unaona battle anaweza shindwa tena

Angeweza angemwachia Mungu au kama anataka kuchukua njia za asili hakuwa na sababu ya kuparade hizi taarifa kizembe(labda ni kutoa ufahamu kwa wengine hili wajichunge kama ndio lengo basi sio vibaya lakini kama ni lengo la kupata huruma ya watz niseme hapa uongo kwani watanzania unafiki ni mwingi)
Kuna hatua mtu anafika anasema BORA KUFA.kama walitaka kumuua mwanzo wataahindwa sasa.?,ila jamaa kaamua iwe hivyo
 
Uzalendo is very wide stuffs. Uzalendo una pande mbili na yeye japo kakubali kutumikia Mamlaka kwa upande Wananchi wasioupenda ila ni kitu ambacho ni kawaida. Hata yeye akiondoka Mamlaka wana resources ya watu kama hao wa kutosha. Kumlaumu mtu mmoja ambaye ni mdogo na yuko tayari kupoteza maisha yake kwa ajili ya nchi yake ni kumuonea. On my limited knowledge opinion this guy is perfect and he execute what is needed for greater benefits like a country like Tanzania. Wakati nyie mnaona mtu wa kuua watu yeye anajiona ni mtu wa kuukoa nchi hii. Watu kama hawa tunawahitaji and i really appreciate his work. Sativa ni Fala flani hiivi ambae anaona social media itamuokoa.
Wewe ni punguani tu
 
Dogo anamlaum mafwele tu bure nafikir watesi wake ni wengine ila uyo mwafele ye kapokea tu tenda awe makini tu kama kaamua kumwaga unga, angejuwa kosa lake angejuwa watesi wake, mi nnavyoona dogo angeomba msaada kistaarabu,mara amlaumu Maza ata uyo dogo mwingine aliedakwa nae kina mambo fulani hayapo sawa,sio ukosoaji tu
Huwa mnafikiri kwa kutumia nini? Mtu akiwa na mambo hayapo sawa ndio mmteke na kumuua? Wewe hapo una mambo mangapi ambayo hayako sawa mbona haujatekwa wala kuuawa?

Futeni hizi mahakama ili tuhamie kwenye kutesana na kuuana, kuna kosa ambalo halitafsiriki kisheria likatolewa hukumu?

Unajua implications ya kujustify “huyu ana mambo hayako sawa, basi atekwe auwawe” Kuna siku mtoto wako wakiume atakuwa anazurura mtaani wahuni watamteka halafu watakuambia alikuwa na mambo hayako sawa.

Fikiria.
 
Uzalendo is very wide stuffs. Uzalendo una pande mbili na yeye japo kakubali kutumikia Mamlaka kwa upande Wananchi wasioupenda ila ni kitu ambacho ni kawaida. Hata yeye akiondoka Mamlaka wana resources ya watu kama hao wa kutosha. Kumlaumu mtu mmoja ambaye ni mdogo na yuko tayari kupoteza maisha yake kwa ajili ya nchi yake ni kumuonea. On my limited knowledge opinion this guy is perfect and he execute what is needed for greater benefits like a country like Tanzania. Wakati nyie mnaona mtu wa kuua watu yeye anajiona ni mtu wa kuukoa nchi hii. Watu kama hawa tunawahitaji and i really appreciate his work. Sativa ni Fala flani hiivi ambae anaona social media itamuokoa.
😂😂😂😂pia wewe ficha ufala wako .....polisi wako kwa interest ya nani?analipwa mshahara afanye nini?kuokoa nchi maana yake ni nini? je mtu mmoja anaeza okoa nchi kwa kipi? kwa kuua au kuteka wale wenye mawazo ya tofauti ihili hali hatutaweza fanana kamwe kimawazo
 
Uzalendo is very wide stuffs. Uzalendo una pande mbili na yeye japo kakubali kutumikia Mamlaka kwa upande Wananchi wasioupenda ila ni kitu ambacho ni kawaida. Hata yeye akiondoka Mamlaka wana resources ya watu kama hao wa kutosha. Kumlaumu mtu mmoja ambaye ni mdogo na yuko tayari kupoteza maisha yake kwa ajili ya nchi yake ni kumuonea. On my limited knowledge opinion this guy is perfect and he execute what is needed for greater benefits like a country like Tanzania. Wakati nyie mnaona mtu wa kuua watu yeye anajiona ni mtu wa kuukoa nchi hii. Watu kama hawa tunawahitaji and i really appreciate his work. Sativa ni Fala flani hiivi ambae anaona social media itamuokoa.
Umeandika haya wakati unakunya au unamyea mwanaume?
 
Huwa mnafikiri kwa kutumia nini? Mtu akiwa na mambo hayapo sawa ndio mmteke na kumuua? Wewe hapo una mambo mangapi ambayo hayako sawa mbona haujatekwa wala kuuawa?

Futeni hizi mahakama ili tuhamie kwenye kutesana na kuuana, kuna kosa ambalo halitafsiriki kisheria likatolewa hukumu?

Unajua implications ya kujustify “huyu ana mambo hayako sawa, basi atekwe auwawe” Kuna siku mtoto wako wakiume atakuwa anazurura mtaani wahuni watamteka halafu watakuambia alikuwa na mambo hayako sawa.

Fikiria.
Umemwambia afikirie.

Unahisi ana uwezo wa kufikiria ?
 
Mafwele ana mtoto wake wa kike yupo south africa anasomeshwa kwa scholarship ya SIR100....Anapandikiza chuki ,SA kuna wahuni wengi sana ,wanaweza wakampa CHUMA na yeye Mafwele afeel uchungu.
Na ndio maombi yetu hiki kitokee haiwezekani wao na watoto zao watanue na mindinga na kubadili ndege siye tunogopa kutoka kwenye vibanda vyetu kwenda mama muuza kunywa gongo kama mbwae iwe mbwai tu
 
Sheria iliyotungwa inawalinda TEETH kwenye kutekeleza majukumu yao ya uuaji ,kwahiyo there is no way kwa TEETH kushitakiwa hata akikupa CHUMA na kukufumua UBONGO hadharani.

Ukiangalia TREND sidhani kama SOKA bado yupo hai itakuwa kashamalizwa kama Ben Saanane maana walimtoa Cell na kumwambia wewe toka maana tutakuja kumalizana na wewe mtaani.
 
Back
Top Bottom