Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
The Mongolian upo?Swai asee mtu wangu wa nguvu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Mongolian upo?Swai asee mtu wangu wa nguvu
Na mtengeneza radi amekufa huko Sumbawanga:-Of coz na saiv Naona kam uchawi umekwisha, au waganga hawapo tena ingekuwa miaka flani wakat hizi Facebook na WhatsApp hazipo wazee wapo wengi..... Hili grupu La watekaji lingepukutika kwa kulogwa tu
Hawezi kukosea etti kumfungulia Mashtaka Dogo, hapo ndo atakua kayakoroga....!Naona kama dogo ana wenge hivi,mpaka picha anapost hovyo,kinachofata ni jamaa kuja hadaharani kushitaki anadhalilishwa bila ushahidi wa msingi.sijui ana hela za kumlipa au atachangiwa tena!!!!
Kama kuna wanasheria karibu yake wamshauri kitu.
Kuna hatua mtu anafika anasema BORA KUFA.kama walitaka kumuua mwanzo wataahindwa sasa.?,ila jamaa kaamua iwe hivyoDah nimpe pole huyu jamaa kwa nyakati ngumu alizopitia sio jambo jepesi.
Sema hapa naona kuna kitu hakipo sawa kwake.Sijui kiasi gani amejipanga kumkabili huyu mtu lakini kwa hesabu nyepesi unaona battle anaweza shindwa tena
Angeweza angemwachia Mungu au kama anataka kuchukua njia za asili hakuwa na sababu ya kuparade hizi taarifa kizembe(labda ni kutoa ufahamu kwa wengine hili wajichunge kama ndio lengo basi sio vibaya lakini kama ni lengo la kupata huruma ya watz niseme hapa uongo kwani watanzania unafiki ni mwingi)
Wewe ni punguani tuUzalendo is very wide stuffs. Uzalendo una pande mbili na yeye japo kakubali kutumikia Mamlaka kwa upande Wananchi wasioupenda ila ni kitu ambacho ni kawaida. Hata yeye akiondoka Mamlaka wana resources ya watu kama hao wa kutosha. Kumlaumu mtu mmoja ambaye ni mdogo na yuko tayari kupoteza maisha yake kwa ajili ya nchi yake ni kumuonea. On my limited knowledge opinion this guy is perfect and he execute what is needed for greater benefits like a country like Tanzania. Wakati nyie mnaona mtu wa kuua watu yeye anajiona ni mtu wa kuukoa nchi hii. Watu kama hawa tunawahitaji and i really appreciate his work. Sativa ni Fala flani hiivi ambae anaona social media itamuokoa.
Huwa mnafikiri kwa kutumia nini? Mtu akiwa na mambo hayapo sawa ndio mmteke na kumuua? Wewe hapo una mambo mangapi ambayo hayako sawa mbona haujatekwa wala kuuawa?Dogo anamlaum mafwele tu bure nafikir watesi wake ni wengine ila uyo mwafele ye kapokea tu tenda awe makini tu kama kaamua kumwaga unga, angejuwa kosa lake angejuwa watesi wake, mi nnavyoona dogo angeomba msaada kistaarabu,mara amlaumu Maza ata uyo dogo mwingine aliedakwa nae kina mambo fulani hayapo sawa,sio ukosoaji tu
😂😂😂😂pia wewe ficha ufala wako .....polisi wako kwa interest ya nani?analipwa mshahara afanye nini?kuokoa nchi maana yake ni nini? je mtu mmoja anaeza okoa nchi kwa kipi? kwa kuua au kuteka wale wenye mawazo ya tofauti ihili hali hatutaweza fanana kamwe kimawazoUzalendo is very wide stuffs. Uzalendo una pande mbili na yeye japo kakubali kutumikia Mamlaka kwa upande Wananchi wasioupenda ila ni kitu ambacho ni kawaida. Hata yeye akiondoka Mamlaka wana resources ya watu kama hao wa kutosha. Kumlaumu mtu mmoja ambaye ni mdogo na yuko tayari kupoteza maisha yake kwa ajili ya nchi yake ni kumuonea. On my limited knowledge opinion this guy is perfect and he execute what is needed for greater benefits like a country like Tanzania. Wakati nyie mnaona mtu wa kuua watu yeye anajiona ni mtu wa kuukoa nchi hii. Watu kama hawa tunawahitaji and i really appreciate his work. Sativa ni Fala flani hiivi ambae anaona social media itamuokoa.
Umeandika haya wakati unakunya au unamyea mwanaume?Uzalendo is very wide stuffs. Uzalendo una pande mbili na yeye japo kakubali kutumikia Mamlaka kwa upande Wananchi wasioupenda ila ni kitu ambacho ni kawaida. Hata yeye akiondoka Mamlaka wana resources ya watu kama hao wa kutosha. Kumlaumu mtu mmoja ambaye ni mdogo na yuko tayari kupoteza maisha yake kwa ajili ya nchi yake ni kumuonea. On my limited knowledge opinion this guy is perfect and he execute what is needed for greater benefits like a country like Tanzania. Wakati nyie mnaona mtu wa kuua watu yeye anajiona ni mtu wa kuukoa nchi hii. Watu kama hawa tunawahitaji and i really appreciate his work. Sativa ni Fala flani hiivi ambae anaona social media itamuokoa.
Hayo mamlaka ya kuteka, kutesa na kuua ameyatoa wapi ?ZCO Faustine Mafwele ndiye mkuu wa kikosi maalum cha pamoja kati ya TISS na TANPOL kinachoteka na kuua wakosoaji/ wanasiasa wa upinzani View attachment 3094567
Mafwele ana mtoto wake wa kike yupo south africa anasomeshwa kwa scholarship ya SIR100....Anapandikiza chuki ,SA kuna wahuni wengi sana ,wanaweza wakampa CHUMA na yeye Mafwele afeel uchungu.Huyu hapa Mafwele
View attachment 3094566
Umemwambia afikirie.Huwa mnafikiri kwa kutumia nini? Mtu akiwa na mambo hayapo sawa ndio mmteke na kumuua? Wewe hapo una mambo mangapi ambayo hayako sawa mbona haujatekwa wala kuuawa?
Futeni hizi mahakama ili tuhamie kwenye kutesana na kuuana, kuna kosa ambalo halitafsiriki kisheria likatolewa hukumu?
Unajua implications ya kujustify “huyu ana mambo hayako sawa, basi atekwe auwawe” Kuna siku mtoto wako wakiume atakuwa anazurura mtaani wahuni watamteka halafu watakuambia alikuwa na mambo hayako sawa.
Fikiria.
Na ndio maombi yetu hiki kitokee haiwezekani wao na watoto zao watanue na mindinga na kubadili ndege siye tunogopa kutoka kwenye vibanda vyetu kwenda mama muuza kunywa gongo kama mbwae iwe mbwai tuMafwele ana mtoto wake wa kike yupo south africa anasomeshwa kwa scholarship ya SIR100....Anapandikiza chuki ,SA kuna wahuni wengi sana ,wanaweza wakampa CHUMA na yeye Mafwele afeel uchungu.
4. CT - Scan ya fuvu baada ya risasi
View: https://x.com/Sativa255/status/1834088999079596417?t=whyMQivBv_iOV6VDnz5mFA&s=19
Ni dhahir walidhani amekufa. Serikali ya Samia ina kibarua kizito sana.