Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wote wameshikilia "mbupu"Mnatapeli iki iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.View attachment 2241841
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
View attachment 2241843
Ya kitwangioKwa hiyo ni nyumba yake?
Ila hiki chama hakipo siriazi kabisa, jiwe gani hili?
Kwa hiyo?Huko ndio nyumbani kwa J J Mnyika
Ndio hivyo!Kwa hiyo?
Ilo la waheshimiwa mwalimu alilikata wakati wa utawala wake na akakataa kuitwa muheshimiwa sijajua kwa nini ccm waliliendelezaKwa nini viongozi wa kisiasa Africa wanapenda sana kuitwa waheshimiwa?
Huwa sisikii Rais wa wa Marekani akitambulishwa kama Honorable au His excellence!
Hata wabunge wao hawaitani waheshimiwa!
Wacha maneno wewe weka jina la mmiliki hapa kwa nyaraka halali
Uongo wa kitoto kabisa.Mshana ata ww jicho lako la kuangalia mambo ya nguvu za Giza limeshindwa kuchunguza na kujilidhisha kwamba hii ofc sio ya chadema na wamekurupuka kuja kujifanya wamezindua?,......kwanza Angalia bemdera ilivyo haina hadhi kabisaa,tiyari kuna wapangaji wa Saloon washaanza kunyoa pale kabla ya hao wenye ofc kulizindua na ujinga mwingi upo hapo unaonekana chief!!!
Hii inahusika vipi na utapeli wa Chadema?Kwa nini viongozi wa kisiasa Africa wanapenda sana kuitwa waheshimiwa?
Huwa sisikii Rais wa wa Marekani akitambulishwa kama Honorable au His excellence!
Hata wabunge wao hawaitani waheshimiwa!
yaani chadema mna utoto wa hali ya juu sana sasa ndiyo nini hii uchafu mnajiaibisha sana eti mnazindua jengo da yaani kwa mtindo huu hamuwezi kupewa nchi hata na kichaaMnatapeli iki iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.View attachment 2241841
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
View attachment 2241843
Jengo ni la kwako?Mnatapeli iki iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.View attachment 2241841
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
View attachment 2241843
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
Hizi ni ofisi au flem za biashara? Halafu huyo mwenye yeboyebo kama namfahamu vile...!!!!!. CHADEMA lini mtaacha utapeli?Mnatapeli iki iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.View attachment 2241841
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
View attachment 2241843
Hili ndio jengo la kwanza jiwe la msingi kuandikwa kwa marker penKama unaamini sio mali yao wewe tuambie ni mali ya nani, wacha kelele zisizo na msingi.
Kwamba kwasababu wameandika kwa "mark pen" ndio iwe sababu ya kusema jengo sio mali yao? wacha uzuzu.