BAVICHA acheni utapeli wa kisiasa. Mnazindua jengo sio mali yenu? Jiwe la msingi mnaandika kwa mark pen inayofutika ili mfute baadae. Huu ni utapeli

Kwa nini viongozi wa kisiasa Africa wanapenda sana kuitwa waheshimiwa?

Huwa sisikii Rais wa wa Marekani akitambulishwa kama Honorable au His excellence!

Hata wabunge wao hawaitani waheshimiwa!
Ilo la waheshimiwa mwalimu alilikata wakati wa utawala wake na akakataa kuitwa muheshimiwa sijajua kwa nini ccm waliliendeleza
 
Kuna pesa itakuwa imeliwa sasa wanatakiwa kuonyesha risit na Jengo, risit tayari bado jengo ndio wanaonyesha hapo, achana nao
 
Wacha maneno wewe weka jina la mmiliki hapa kwa nyaraka halali

Mshana ata ww jicho lako la kuangalia mambo ya nguvu za Giza limeshindwa kuchunguza na kujilidhisha kwamba hii ofc sio ya chadema na wamekurupuka kuja kujifanya wamezindua?,......kwanza Angalia bemdera ilivyo haina hadhi kabisaa,tiyari kuna wapangaji wa Saloon washaanza kunyoa pale kabla ya hao wenye ofc kulizindua na ujinga mwingi upo hapo unaonekana chief!!!
 
Uongo wa kitoto kabisa.
 
Kwa nini viongozi wa kisiasa Africa wanapenda sana kuitwa waheshimiwa?

Huwa sisikii Rais wa wa Marekani akitambulishwa kama Honorable au His excellence!

Hata wabunge wao hawaitani waheshimiwa!
Hii inahusika vipi na utapeli wa Chadema?
 
Mnatapeli iki iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.View attachment 2241841
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
View attachment 2241843
yaani chadema mna utoto wa hali ya juu sana sasa ndiyo nini hii uchafu mnajiaibisha sana eti mnazindua jengo da yaani kwa mtindo huu hamuwezi kupewa nchi hata na kichaa
 
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo

Burden of proof huwa inasema "Unayetoa mashitaka ndio unatakiwa kutoa vithibitisho kuhusu mashitaka yako"

Tofauti na hivyo ni Umbea na kupotezeana muda...
 
Mnatapeli iki iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.View attachment 2241841
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
View attachment 2241843
Hizi ni ofisi au flem za biashara? Halafu huyo mwenye yeboyebo kama namfahamu vile...!!!!!. CHADEMA lini mtaacha utapeli?
 
Kama unaamini sio mali yao wewe tuambie ni mali ya nani, wacha kelele zisizo na msingi.

Kwamba kwasababu wameandika kwa "mark pen" ndio iwe sababu ya kusema jengo sio mali yao? wacha uzuzu.
Hili ndio jengo la kwanza jiwe la msingi kuandikwa kwa marker pen
 
Back
Top Bottom