BAVICHA acheni utapeli wa kisiasa. Mnazindua jengo sio mali yenu? Jiwe la msingi mnaandika kwa mark pen inayofutika ili mfute baadae. Huu ni utapeli

BAVICHA acheni utapeli wa kisiasa. Mnazindua jengo sio mali yenu? Jiwe la msingi mnaandika kwa mark pen inayofutika ili mfute baadae. Huu ni utapeli

Itakua wanazindua duka la bidhaa ndogo ndogo
 
Sasa lini ukazindua jengo lako alafu uandike kwa mark pen inayofutika? Acha utoto basi
Acha ushamba wewe. Imeandikwa wapi kwamba ili uonekane jengo ni mali yako lazima uweke vibao kama vya majengo ya mbio za mwenge?
Kwani si unaweza kuweka hicho ukitakacho wewe kisha ukabandua?
Marangapi mbio za mwenge huzindua nyumba binafsi za watu ? Je wanaweka mawe ya msingi?
 
Matatizo ya kufanya siasa Kama ajira.

Muda wote unazurula Kama Taahira fulani.

Vijana hawajishughulushi kabisa, wanategemea kula kwenye SIASA
 
Chadema ni waigizaji wazuri walisahaulika tu kwenye movie yetu ya Nyonyo tulia.

Ila kama nao wangeekti basi tungegika mbali mno kama Taifa katika sekta ya Utalii.

Naomba Nyonyo tulia nyingine Chadede wawepo.
 
Mnatapeli iki iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.View attachment 2241841
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
View attachment 2241843

Tulia watu wapige posho za safari

Kutoka Dar mpaka Misungwi Mwanza kisa kuzindua semi finished house lililoandikwa kwa Marker Pen ni kituko cha aina yake
 
Well, kwahiyo jengo ni la nan? Ni vzr ukipinga jambo ulete na ukwel unaouamin!!
 
Matatizo ya kufanya siasa Kama ajira.

Muda wote unazurula Kama Taahira fulani.

Vijana hawajishughulushi kabisa, wanategemea kula kwenye SIASA
Na hilo ndio tatizo kubwa la siasa za Tanzania.

Huyu Pambalu aliacha ualimu na sasa anazurula ovyo mitaani na matisheti yake.
JamiiForums1637019176.jpg
View attachment 2243019
 
Pascal, kwenye #11 kuna pongezi zako kwa mleta mada! Inawezekana haukunuia ila dole liliteleza tu kutokana na jina Chadema kuhusika huku hamuivi chungu kimoja, vitu vidogovidogo jaribu kuwaachia wanao wahangaike navyo.
 
Back
Top Bottom