Bado uko zama za mawe kifikra wewe. Kwahiyo ulitaka likae jiwe kama jiwe??Ila hiki chama hakipo siriazi kabisa, jiwe gani hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado uko zama za mawe kifikra wewe. Kwahiyo ulitaka likae jiwe kama jiwe??Ila hiki chama hakipo siriazi kabisa, jiwe gani hili?
Acha ushamba wewe. Imeandikwa wapi kwamba ili uonekane jengo ni mali yako lazima uweke vibao kama vya majengo ya mbio za mwenge?Sasa lini ukazindua jengo lako alafu uandike kwa mark pen inayofutika? Acha utoto basi
MemberItakua wanazindua duka la bidhaa ndogo ndogo
Kama hata hujui maana ya jiwe la msingi hutoshi kujibizana hapa, itoshe tu kukupuuza.Bado uko zama za mawe kifikra wewe. Kwahiyo ulitaka likae jiwe kama jiwe??
Ndio maana wamesimama kama wanaungama dhambiMnatapeli iki iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.View attachment 2241841
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
View attachment 2241843
Nawe kachimbe shimo kigoma pamoja na mme wako ziko ili ufukiwe na mama mkwe wako.Kachimbe shimo burigi ujifukie kama alivyo kushaurini Zzk
Mnatapeli iki iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.View attachment 2241841
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
View attachment 2241843
Mkuu elvischirwa, what do I have to do with this?!.Pascal Mayalla please keep your standards, some things are not of your standard.
Pascal hebu rejea #11 utalikuta jina lako.Mkuu elvischirwa, what do I have to do with this?!.
P
Yes nimepita hapo Bavicha acheni utapeli wa kisiasa. Mnazindua jengo sio mali yenu? Jiwe la msingi mnaankika kwa mark pen inayofutika ili mfute baadae. Huu ni utapeli.Pascal hebu rejea #11 utalikuta jina lako.
Na hilo ndio tatizo kubwa la siasa za Tanzania.Matatizo ya kufanya siasa Kama ajira.
Muda wote unazurula Kama Taahira fulani.
Vijana hawajishughulushi kabisa, wanategemea kula kwenye SIASA
Huyu dogo hajitambui.Na hilo ndio tatizo kubwa la siasa za Tanzania.
Huyu Pambalu aliacha ualimu na sasa anazurula ovyo mitaani na matisheti yake. View attachment 2243020View attachment 2243019
Pascal, kwenye #11 kuna pongezi zako kwa mleta mada! Inawezekana haukunuia ila dole liliteleza tu kutokana na jina Chadema kuhusika huku hamuivi chungu kimoja, vitu vidogovidogo jaribu kuwaachia wanao wahangaike navyo.Yes nimepita hapo Bavicha acheni utapeli wa kisiasa. Mnazindua jengo sio mali yenu? Jiwe la msingi mnaankika kwa mark pen inayofutika ili mfute baadae. Huu ni utapeli.
nikakuona umeniweka jina langu la nini?. What do I have to do with this?!
P