BAVICHA kufanya Julai 1, 2021 kuwa siku ya Katiba

Katiba haiombwi inadaiwa kwa jasho na damu kwenye nchi zetu hizi za kishenzi
 
Nashauri serikali iwashughulikie wahuni wote wanaodai katiba hewa
 
Wewe ulishawahi kumsogelea kichaa mwenye kisu mkononi kwa nia ya kishindana naye kwa hoja?
Your logic is flawed!

Kichaa toka lini ukashindana naye kwa hoja???
 
Watujibu kwanza Kwann Waliharibu Ule mchakato wa Kwanza Kwa Kutoka Nje Ya Bunge la Katiba?
 
Watujibu kwanza Kwann Waliharibu Ule mchakato wa Kwanza Kwa Kutoka Nje Ya Bunge la Katiba?

..mchakato haukuharibika.

..bunge maalum lilikamilisha kazi yake na kutoa katiba pendekezwa ambayo ilitakiwa iwasilishwe kwa wanachi waipigie kura.
 
Swali la kuwauliza wanaodai katiba mpya, je wako tayari kupokea na kukubali maoni ya upande wa pili? Maana inavyojulikana upande wa pili ni wengi kuliko wao.
 
..mchakato haukuharibika.

..bunge maalum lilikamilisha kazi yake na kutoa katiba pendekezwa ambayo ilitakiwa iwasilishwe kwa wanachi waipigie kura.
Basi tuanzie hapo tuipigie kura ili wananchi waseme.
 
Basi tuanzie hapo tuipigie kura ili wananchi waseme.

..sawa.

..itabidi KAMPENI za kura ya maoni zifunguliwe.

..kuandaliwe utaratibu na chombo cha kusimamia kampeni hizo na zoezi la kupiga na kuhesabu kura.

..kwa hiyo tutahitaji TUME HURU.
 
Magufuli alikuwa dikteta,mama anaendesha nchi kwa kufuata katiba inavyosema,kuwa watu Wana uhuru wa kujieleza na kupinga jambo lolote,
Kwaiyo usimfananishe Samia na lile dikteta
 
Labda nikuulize kama unadhani "tweeter advocates" wameibuka baada ya Magufuli kufa, ni lini walipoa? Nini kilipelekea mpaka serikali ikafunga Twitter kupitia TCRA na watu bado wakaendelea kutumia VPN kuichana serikali na kumwaga siri za serikali? Kitu unatakiwa ujue, duniani kote Twitter ni mtandao wa watu makini, ndo maana marais wa dunia yote wanatumia Twitter na sio Facebook wala Instagram. Hivyo give the dudes their respects. Wengi wao ni wasomi wenye mamasters yao pale. Acha dharau dogo
 

Nimecheka kwa nguvu ile mbaya, kwahiyo watu wasifanye mkutano wa ndani kudai wanachoamini, kisa rais atajisikia vibaya! Hata magu pamoja na unyama wake watu tulikuwa tunampa ukweli wake, na bado kwenye mikutano kibao ya ndani alipewa ukweli wake. Kwenye kampeni ndio alipewa ukweli uliompa msongo wa mawazo. Na kwenye msimu wake huu wa pili hata kama asingekuwa motoni, bado hoja hii ya katiba mpya ingepata nguvu ya ajabu.
 
Daaah hii nchi tuna safari kubwa sana, yaani mtu kama Nyani Ngabu mwenye exposure hauoni umuhimu wa katiba mpya, je mtanzania wa bariadi au simiyu atakua na mawazo gani?
 
Kwanini nyinyi mapunda wa CCM mnaiogopa katiba mpya kama mnajua haina madhara kwenu? Si muweke na tume huru tuingie uwanjani tuone kama saa 4 itafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…