Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Kwa hiyo mchakato wa katiba mpya uliharibiwa na UKAWA kutoka nje ya Bunge?! Huu ni uongo wako mwenyewe, au na Polepole alikukaririsha?!Watujibu kwanza Kwann Waliharibu Ule mchakato wa Kwanza Kwa Kutoka Nje Ya Bunge la Katiba?
Dogo una miaka mingapi? Wewe ni msimbe?Kuanzisha familia siyo lazima uwe kwenye ndoa!
Mikutano ya ndani pamoja na wabunge kwenye maeneo yao ndo imeruhusiwa. Mikutano ya hadhara hakuna ruhusa.Uzuri mmoja mama ni kama jk anawaachaa wafanye mikutano yao lakini masikio kayaweka mbalii wao wenyewe watachoka na watatulia
Nyani Ngabu ni nyani mmoja mjinga tu, usiogope viingereza vyake vya kukopi kwenye dictionary. Alizamiaga meli tu kipindi kile akakutana na wagiriki wakafanya yaoDaaah hii nchi tuna safari kubwa sana, yaani mtu kama Nyani Ngabu mwenye exposure hauoni umuhimu wa katiba mpya, je mtanzania wa bariadi au simiyu atakua na mawazo gani?
Katiba inakuja hakuna wakuzuia,Nimesikia kuwa kesho ndo siku ya katiba.
Sina hakika hasa ni akina nani ndo wameipanga ila nahisi ni akina mwafulani.
Shughuli itafanyika hapo Segerea. Tundu Lissu atakuwa mtoa mada. Au labda mmoja wa watoa mada?
Ni jambo zuri. Katiba mpya ni kitu muhimu kwa mustakabali taifa.
It is long overdue. Way long overdue.
Baada ya Rais Magufuli kufariki, vuguvugu la katiba mpya limerudi tena.
Na sasa hivi ‘Twitter advocates’ wa hiyo katiba mpya wanasema liwe liwalo litalokuwa, katiba mpya lazima ipatikane.
Mikwara na maneno kama hayo kuhusu hiyo katiba mpya sikuyasikia sana kipindi cha utawala wa Rais Magufuli.
I wonder why 😂 🤔.
Nimefanya ka observation kangu kadogo kwa hizi siku za mwanzoni za utawala wa Rais Samia na nimegundua kwamba kuna ‘perception’ ya yeye kuwa mpole, mlaini, mdhaifu, msikivu, na vivumishi vingnine kama hivyo.
Perception hiyo ndo naona imewapa moyo wale Twitter activists kusema liwe liwalo litalokuwa, katiba mpya ni lazima ipatikane.
Juzi Rais kasema apewe muda kwanza aisimamishe nchi kiuchumi halafu ndo labda tutazungumzia na kuyaangalia hayo mambo ya katiba mpya, baadhi ya raia tumemshukia kama gunia la mawe.
Kuwa mpole na kuwa msikivu si vibaya. Ila kilicho kibaya ni watu kuwa na perception ya kwamba wewe ni dhaifu na kwamba huwezi kuwa kichwa ngumu na huwezi kustahimili mashinikizo.
Kila la kheri hiyo kesho kwa washiriki wote wa kongamano hilo la katiba mpya.
Ila sitosahau yale maandamano ya UKUTA na yale maandamano ya Instagram ya yule dada enzi Magufuli akiwa Rais 🤣.
Katiba inapofanywa kuwa hitaji la kisiasa, ndio kosa linaanzia hapo
Who the hell has posted this crap!???Nimesikia kuwa kesho ndo siku ya katiba.

Hahahaaaa....... Ingekuwepo sababu ningeandamana tu bwashee!Hivi wewe uliwahi hata kufikiria kuandamana enzi Magufuli akiwa Rais? Au ngebe zako huwa unazipigia JF tu?
Mikwara na maneno kama hayo kuhusu hiyo katiba mpya sikuyasikia sana kipindi cha utawala wa Rais Magufuli.
I wonder why 😂 🤔.
Hauoni kwamba ni vigumu sasa kwa hoja hiyo kuwaleta watu wawe kitu kimoja kwa sababu ya mitazamo yao ya kisiasa?Katiba ni hoja ya kisiasa, ndio maana unaona, wakulima, wafanyakazi na hata wafanyabiashara wako kimya huku wakiwa hawana uwezo wa kutetea hata haki zao. Cdm hawatakiwi kuachia hoja hii maana wananchi wameelewa sana hoja hii.
Ka Jf ketu unakarank vipi?..ni nyumbani kwa la saba graduates nini?Labda nikuulize kama unadhani "tweeter advocates" wameibuka baada ya Magufuli kufa, ni lini walipoa? Nini kilipelekea mpaka serikali ikafunga Twitter kupitia TCRA na watu bado wakaendelea kutumia VPN kuichana serikali na kumwaga siri za serikali? Kitu unatakiwa ujue, duniani kote Twitter ni mtandao wa watu makini, ndo maana marais wa dunia yote wanatumia Twitter na sio Facebook wala Instagram. Hivyo give the dudes their respects. Wengi wao ni wasomi wenye mamasters yao pale. Acha dharau dogo
Soma alichoandika para ya 4., yaani mtu kama Nyani Ngabu mwenye exposure hauoni umuhimu wa katiba mpya,
Nini kimekufanya uone kama sioni umuhimu wa katiba mpya?Daaah hii nchi tuna safari kubwa sana, yaani mtu kama Nyani Ngabu mwenye exposure hauoni umuhimu wa katiba mpya, je mtanzania wa bariadi au simiyu atakua na mawazo gani?
The Man with the Masterplan!Who the hell has posted this crap!???
Dai la katiba ni la watu wajinga wasiojua wanataka nini!
Ukiwauliza wana bavicha na hao wanaharakati wajinga kwamba unataka katiba mpya ili iweje, hana cha kujibu zaidi anafikiri katiba mpya itaweka mazingira mepesi ya kuwezesha wao kuingia ikulu kirahisi!
Kenya wana katiba tunayoambiwa ni nzuri sana lakini ni nzuri kwa wanasiasa tu maana ufisadi na maisha magumu kwa raia viko pale pale!
Wapeleke uhuni wao huko! Wao waendelee kupambana na mondi tu.
Hivi Ukuta ilikuwa ni nini? Kirefu chake cause nimeshasahau hataWaliishia kuufyata. Nilicheka kwa masikitiko sana.
Hahahaaaa....... Ingekuwepo sababu ningeandamana tu bwashee!