BAVICHA kutoa Sadaka Maalum Kanisani ili kumuomba Mwenyezi Mungu atoe hukumu ya haki kwa wote waliohusika kuwabambikia kesi wanachadema

BAVICHA kutoa Sadaka Maalum Kanisani ili kumuomba Mwenyezi Mungu atoe hukumu ya haki kwa wote waliohusika kuwabambikia kesi wanachadema
Kwanini kanisani na sio msikitini? Niliwahi kuandika mada humu kuhusiana na suala la kuchanganya siasa na dini.

Wenye Funguo wa Mlango wa kutenda haki nawasikie ili Mapenzi ya bwana yatimie
 
Inaonyesha chadema walivyowajinga na kukosa mvuto. Hivi huko jela wapo chadema tu? Eti wanadai wahalifu wote chadema jela wamebambikiwa makosa.[emoji23][emoji23]
Tuliza mshono dada mkubwa,haya mambo ya kiumeni hayakuhusu.
 
Unataka kuharibu mjadala kwa kuanza kuleta masuala ya udini hapa.

Umeuliza ukaambiwa kuwa hawataenda na msikitini?
 
Mungu hatawachelewesha kila mtu atapata HUKUMU yake Kwa Jinsi alivyoshiriki kuwaonea binadamu wengine
 
Kwani boss wako ameshindwa kuweka wakili ili muwatoe gerezani? Maana mna ushahidi kuwa wamebambikiwa kesi.
 
Hakika Mungu usikia maombi ya wengi wenye haki.Tulifunga na kuomba awaaaibishe wote wale watakao chezea na kuvuruga uchaguzi mkuu, hakika ni mwema tumeuona ukuu na uweza wake ametenda,amewaaibisha atusikii tena tambo zao.
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…