Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Kwanini kanisani na sio msikitini? Niliwahi kuandika mada humu kuhusiana na suala la kuchanganya siasa na dini.BAVICHA kutoa Sadaka Maalum Kanisani ili kumuomba Mwenyezi Mungu atoe hukumu ya haki kwa wote waliohusika kuwabambikia kesi wanachadema
Dhana ya kutochanganya siasa na kanisa na madai ya Askofu Emmaus Mwamakula juu ya mchakato wa Katiba Mpya
Habari za wakati huu JamiiForums. Kwanza kabisa ninaomba ieleweke kwa kila mmoja wetu ya kwamba, Tanzania ililazimika kupigana vita ya Kagera mwaka 1978 kwa lengo la kuikomboa ardhi yetu na kumtoa nduli Idd Amin Dada na genge la wahuni wenzie. Vita ile haikuwa na maana tulikuwa tunawachukia...