BAVICHA: Tumesikitishwa sana na walioenda kuapa, ni kitendo cha usaliti, hujuma na hakiwezi kuvumilika. Wataka hatua kali zichukuliwe

Hapo, Hekima itumike! La sivyo, Chadema imezikwa rasimi!!

Mimi Naamini kabisa M/kiti Chama hakosi kwenye hii inshu, na kama kufukuzwa, Yeye awe wa Kwanza ndipo wafuate hao dada zetu!

Swali linakuja, ni Nani wa kumfukuza Mbowe hapo Ufipa?

Yetu macho!!
 
Hakuna mtu yeyote ambae angepewa ile fursa angeikataa.

Hata Halima na Ester Bulaya wangeachwa kwenye ile orodha wangesema kama walivyosema walioachwa.

Wabunge wenyewe wa viti maalum wanajiita 'Covid 19' wakiashiria idadi yao

Hakuna "mtu yeyote." Yeyote?
 
Acheni chuki kwa dada zenu hivyo viti maalum kama vingekuwa vinawahusu wanaume sahizi zamani akina Mbowe na Lema wangekuwa wameshaapishwa na kijifanya wamechenji gia angani
 
Unazidi kujichanganya, real criminals wanawazidi akili, badala ya kuwawajibisha, mnawatetea tena kwa nguvu zote, so sad!

Waziwazi mmejua mlibugi kuingilia na kujimilikisha mchakato wa chama chao.

Wenyewe wamechacha hawataki ukhanithi!

Wakajifiche wapi jiwe, manoti na bwana supika waasisi wa utopolo huu?

Mijizi mikubwa!
 
Kwakuwa mademu zao hawakupa kiti ndio maana mnawaonea wivuu. Fikiria kama John Mnyika mke wake angekuemo kwenye list si angekaaa kimyaaa.
 
Sijaona maana ya hiyo press, nilitegemea wao wanataka kuweka wazi msimamo pia kupendekeza hatua ambayo inahitajika na wengi, lakini ajabu ni kuwa hawanyooshi maelezo hasa juu ya kile wanacho kiwaza wao.
 
Mimi na wewe tuendelea kuhariri comments!

Ongelea moyo wako si nyoyo za wengine. Kwa vile wewe si nabii wa Mungu, huo ndiyo uungwana. Vinginevyo mengine ni ramli typical kwa jamii zisizo staarabika.
 
Yule wa Nkasi vipi wamekubaliana naye kwenda bungeni kinyume na msimamo wa chama?
 
Sawa na CHADEMA ikifa sijui utakula wapi maana kazi yako itakua imeisha rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…