Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Kwahiyo unamfananisha Mnyika na PolepoleHuyu mwenyekiti hajitambui kabisa,poleni chadema mmemuokota wapi????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unamfananisha Mnyika na PolepoleHuyu mwenyekiti hajitambui kabisa,poleni chadema mmemuokota wapi????
Criminal anangojewa tu aache kazi baada ya 5 years apandishwe kizimbani, hii haisauliki. Ana kesi ya uhaini; kuiba kura na kupora kiti cha Uras na wabunge na madiwani, na sasa fraud kubwa ya kugushi docsSawa, lkn dilini kwanza na criminals wanaowaongoza, ...
Hiyo pesa ya damu hawatakaa wawe na amani nayo. Wale vijana walio ikiwa, waliowekwa ndani kwa mateso. Walikipigania chama.13m x 60 months+90m ( v8)+ 300m ( kiinua mgongo)
Jumla hapo ni 1.170 billion kwa miaka 5 hapo hatujaongelea zile laki 3 per day during a bunge sessions
Aache mzigo wote kwa ajili ya 'heshma aliyojijengea)?
Wee ungeacha kusema ukweli?
Kama shida ni mzigo mbona alishakusanya sana au anataka kuwa Mo kwa mgongo wa ubunge?!13m x 60 months+90m ( v8)+ 300m ( kiinua mgongo)
Jumla hapo ni 1.170 billion kwa miaka 5 hapo hatujaongelea zile laki 3 per day during a bunge sessions wala ma posho ya kamati kadhaa hasa kama ile ya PAC ambayo imemuwezesha Mtoto wa Mwandiga kuishi eneo moja na kina Bakhresa, Sofia Simba, n.k
Aache mzigo wote kwa ajili ya 'heshma aliyojijengea?
Wee ungeacha kusema ukweli?
Leo baraza la vijana wa CHADEMA Taifa limetoa msimamo kufuatia wabunge 19 ambao wamekwenda kuapa bungeni kinyume na msimamo wa chama.
MWENYEKITI: BAVICHA tulikutana katika kikao chetu tulichokifanya kwa njia za kidijitali kujadili mustakabali wa chama chetu kufuatia kadhia hii iliyotokea katika chama.
Jambo la kwanza ambalo BAVICHA tumekubaliana ni kuunga mkono msimamo wa chama chetu, kwanza kutotambua matokeo ya uchaguzi, kutoutambua uchaguzi wote na matokeo yake yote. Huo msimamo wa kwanza ambao umekuwa ukitangazwa na chama chetu kuanzia mwanzo huo ndio msimamo wa BAVICHA.
Pili tunaunga mkono msimamo wa chama juu ya hawa ambao walienda kuapa, walioenda kinyume na muongozo wa chama chetu, tunaunga mkono msimamo wetu wa chama kwamba watu hawa waitwe hatua za kinidhamu ziweze kuchukuliwa dhidi yao.
Tunaunga mkono msimamo wa chama kwasababu kamati kuu ya CHADEMA ambayo ina uwakilishi wa vijana kwenye kamati hiyo na muwakilishi wa vijana hao ni mimi, katika vikao vya kamati kuu ya chama hatukuwahi kujadili, hatujawahi kupitisha orodha yoyote ya wabunge wa viti maalum
Hiyo pesa ya damu hawata kaa wawe na amani nayo. Wale vijana walio ikiwa, walio wekwa ndani kwa mateso. Walikipigania chama.
Hukujuavua unachosimamia.Maneno ya Mkosaji
Hata mimi enzi zangu Ofisn nikipigwa 'kanzu' na wenzangu hiyo ndio ilikuwa misemo yangu ya kujifariji lakin roho inauma
Kama shida ni mzigo mbona alishakusanya sana, au anataka kuwa Mo kwa mgongo wa ubunge?!
Siyo hivyo ipo hivi kwanza list ya wabunge viti maalum haipaswi kuwagusa wale waliogombea ubunge majimboni, huwa ni watu fresh tokea kwingine lakini hilo dili la ununuzi wa watumwa wa kike kuuzwa kwa Ndugai linaenda kukigawa chama na ndipo CHADEMA inafariki na kuwa kama TLP NCCR na CUF ya LipumbaHallima James Mdee Wala si MSALITI...
Hawa vijana waongowaongo tuuuu. Kama walikatamata mabox kwa nini hawakupeleka polisi.Uongo huu ndiyo mtu wenu ameupeleka kwa wazungu nao wakaupokea. Haki inatafutwa mahakamani leo kweli chadema wameshindwa kupeleka issue hii mahakamani huku vielelezo wanavyo.Kuweni serious you chademaAngalau hawa vijana wamethubutu, sasa ngoj tuone mbowe na Salum mwalimu watuhumiwa wa kula bilion 3 za Ndungai kuwauzia watumwa 19 wa kike watakuja na majibu gani kesho
Hukujuavua unachosimamia.
Hujui kwamba chama kina katiba.....!?Hallima James Mdee Wala si MSALITI.
Kilichopo kinafichwa.
Mnyika ANAJUA kuwa SAFARI HII...BAWACHA wamekataa kuwa STAMP ya kupitisha majina "ya wabunge WANAOTAKIWA NA MWENYEKITI TU...na inner circle yake".
Jipongezeni kwa kufanikiwa kupata mateka wa kuoneshea wazungu kuwa mna upinzani bungeni.Nachosimamia tuache Unafiki
Waliokuwa wanamshinikiza yule Mbunge wa kule Mpanda Chadema asiende kula kiapo Bungeni, walipopewa fursa wao hawakusubiri kula Kiapo Ndani ya Bunge, wamekula kiapo kwny kibaraza cha Bunge kwa nje
Drama drama drama, mnazidi kufanywa wajinga ili msijue nani yuko nyuma ya haya yote ambao ni Tundu Lissu na Mbowe.