Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
Pia, Soma:
- Uongozi mpya wa Bavicha kuchaguliwa leo
- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) CHADEMA Taifa 2025
- CHADEMA pamechangamka! Mgombea wa BAVICHA Shija Shibeshi ajiondoa kwenye kinyang'anyiro kisa Tundu Lissu