BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu kuingia kwenye ukumbi wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo. View attachment 3200731

Kuna wana Chadema wa aina mbili, kuna watu ambao ni binadamu na wana ubongo wa kufanya maamuzi, na kuna wengine machoni ni kama watu ila wana akili ya nyumbu, hivyo hizi ndio zao, kulipuka kwa shangwe kumshangilia Lissu, ila siku ya siku, Lissu atashangaa na hata amini!. Hata Lowassa alishangiliwa hadi kuimbiwa tuna imani na Lowassa, ila baada ya kukatwa, hawakuonekana tena!.
Tena hata mimi kwenye kura za maoni Kawe, nilipotajwa tuu jina langu, Pasco Mayalla, ukumbi ulilipuka kwa kushangiliwa, njoo kwenye kura!.
P