Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

Bila kusahau na mabalozi wa nchi za nje walikuwepo na kusikia nini msimamo wa upinzani upo vipi
Sio poo alienda kuwakilisha mawazo yake sababu ni eneo pana lakuwakilisha mawazo yake na watanzania wote kumuona na kumsikiza.
 
Daah imefikia hatua shamsa anakua muhimu ndani ya chama ..ehehe
 
Tatizo la hawa watu ikisha karibia uchaguzi na wao kupewa fungu lao utasikia wameita waandishi wa habari nakutangaza kurudi nyumbani. Siwaamini hata kidogo. Sijui wanatumwa ama ni mawazo yao?
ni wanachama wa kawaida sana , kwa mfano wema alipoondoka alimtikisa nani ?
 
Churaless shamsha, ndio mtu atoe 20m mahari hapo?
 
Back
Top Bottom