Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #41
Umeandika ukweli mzito !Bavicha haina ubishoo Tayari andiko la Kitaalam kukabiliana na hili janga lipo Engine room...Bavicha imejaa wasomi wapo sehemu mbali mbali vitengo nyeti Kulitumilkia Taifa
We piga miayo tu huko uswekeni chama kiko Mjini
Mwenyekiti wa BAVICHA nimesoma naye IHUNGO HIGH SCHOOL yeye alikuwa mchepuo wa HGE baadaye alienda UDSM ana Bachelor of Education with arts na kwasasa anasoma MASTER'S DEGREE IN PROJECT MANAGEMENT (OUT)Hapo kuna hata aliyemaliza kidato cha nne?
Wamechooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooka !Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea.
Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa.
Usiondoke JF
HayaWamechooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooka !
kama umepanic vile 🐒Tanzania ni moja na si mali ya ccm
Ni vyema ndugu na jamaa wanapopata madhira kuwafriji.Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea.
Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa.
Usiondoke JF
ni mapanya sio 🐒Umewahi kuona wapi CHADEMA wakatoa misaada wakati wao wenyewe ndio watafuna misaada? Waulize kwenye maporomoko ya Hanang walipata shilingi ngapi kwenye kale kanamba ambako waliweka picha ya Mbowe? Walipeleka wapi kilichopatikana? CHADEMA ni matapeli sana na mafisi linapokuja suala la pesa mbele yao
Wanajua kabisa sasa hivi Makonsa yuko na Tukio la Arusha😂😂Siasa zote ni matukio, hakuna siasa bila matukio.
.Toeni Msaada kwa kodi zetu kwa maafa Rufiji muache kulalamika.Umewahi kuona wapi CHADEMA wakatoa misaada wakati wao wenyewe ndio watafuna misaada? Waulize kwenye maporomoko ya Hanang walipata shilingi ngapi kwenye kale kanamba ambako waliweka picha ya Mbowe? Walipeleka wapi kilichopatikana? CHADEMA ni matapeli sana na mafisi linapokuja suala la pesa mbele yao
Waathirika wa kule Hanang mliwasaidia nini?Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea.
Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari na kufumua kila kilichofichwa.
Usiondoke JF
AminaNi vyema ndugu na jamaa wanapopata madhira kuwafriji.
Hufuatilii mambo , haturudi nyumaWaathirika wa kule Hanang mliwasaidia nini?
Hao wnyw wanahitaji misaada ndio maana kutwa kuchangisha wanachama wao huku pesa inapokwenda hakijulikaniWameenda na msaada wowote? Japo hata paracetamol?
Hakuna mwenye akili hapo ya kufanya tathmini, wote wahuni tuu hapo.Weka tathmini hiyo hapa
Mbowe anawadanganya Sana 😂Bavicha ipo mpaka UN vijana tupo mpaka huku Duniani kuisaidia jamii...we imba tu mapambio kusindikiza walioshiba
Mm nimewafananisha na wale matapeli wa mlete rafiki yako na yeye akiwaleta rafiki zake utapiga pesa sanaMbona wamepauka hivyo hawa vijana?
Hapo kuna hata aliyemaliza kidato cha nne?
Kuwafariji kwa maneno matupu.?Ni vyema ndugu na jamaa wanapopata madhira kuwafriji.
Ukiambiwa ukweli unasema unatukanwa 😂 we n mpumbavu tuuNapokea matusi ya aina zote , endeleeni kunitukana .
Siyo lazima uwe na kitu ndio umfariji mtu.Kuwafariji kwa maneno matupu.?