BAVICHA yatinga Rufiji, Yakagua Mafuriko na kufanya Tathmin kabambe

suala la pesa mbele yao
Shemeji usihofu mdogo wangu Makonda atakuoa. Ila punguza makeke ya kilugaluga
 
suala la pesa mbele yao
Shemeji usihofu mdogo wangu Makonda atakuoa. Ila punguza makeke ya kilugaluga
 
Kwa kweli BAVICHA mambo yao ni ovyo sana, jamaa wapo kimatukio tu hawana tofauti na UVCCM
 
Zote hizo ni kampeni... Bavicha wenyewe wanaonekana ni njaa kali tu
 
Selfie na majogambo ya kisiasa yanasaidia nini wananchi.Hapa wangepeleka misaada basi mengoneyo hayasaidii niunafiki tu wakisiasa
 
Yani hawa vijana wawili Mwenyekiti na mwenezi ndio Bavicha yenyewe so sad vijana wengine wamebakia mitamdaoni tu ku like nanku comment harakati Ila hawa wanasfahili sifa
 
Yani hawa vijana wawili Mwenyekiti na mwenezi ndio Bavicha yenyewe so sad vijana wengine wamebakia mitamdaoni tu ku like nanku comment harakati Ila hawa wanasfahili sifa
Hawa tumewatuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…