Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Anyway sio Bawacha tu hata Bavicha wajipange , viongozi wa nchi za kiafrika huwa ni wabishi sana kuachia madaraka kwa kuwa maisha yao mazuri yapo hapo huwa Mpaka walazimishwe na circumstances.